sababu?Kama unahiyo simu hapo mzee, umekwisha....
Ntajuaje ni fake sasa maana mimi nikinunua simu naangalia tu upya wake, imetoka kwenye box basi?Moshi mjini kuwa makini sana. Naona wahuni wa kariakoo wanavamia kwa kasi. Nilinunua Tecno H6 wakati zinaingiaingia wakaniambia ni Og. Huwezi amini TCRA waliizima ni wiki tu baada kununua.
samsung refurbished vs mpya OG. unafuu nafuu toka nduki. kwa hiyo bei hujapigwa umeuziwa kwa market price na original am sureNikiingia Instagram wengine hapo dar wanauza 420,000, wengine 350,000 Sasa tofauti kubwa hivyo ni ya nini na bidhaa ni hiyo hiyo?
Kariakoo nenda duka linaloeleweka maana copy nazo zipo kibao.Kumbe Kariakoo Kuna wahuni?
Kule si ndipo kiwanda cha wahuni na matapeli kilipo, tena kada ya simu wamejazanaKumbe Kariakoo Kuna wahuni?