Samahani , A15 uliipendea nini ?.Juzi nilienda Town kutafuta simu ya samsung A15,Katika pita pita kuna wanaiuza 380,000.Maduka mengine hapa Moshi mjini wengine 480,000.
Mpaka Leo najiuliza kwanini yule auze 380,000 na specification ni zile zile?.Nilienda duka moja anauza mzee akaniuzia kwa 470,000 akaniambia tunaiscan uone ni original.
Kuna A14 5G na 4G, yenye 4G ni around laki 3 yenye 5G around laki 4. Kama upo mkoani sio mbaya hio bei ila dar chini ya 350K unapata A15.Juzi nilienda Town kutafuta simu ya samsung A15,Katika pita pita kuna wanaiuza 380,000.Maduka mengine hapa Moshi mjini wengine 480,000.
Mpaka Leo najiuliza kwanini yule auze 380,000 na specification ni zile zile?.Nilienda duka moja anauza mzee akaniuzia kwa 470,000 akaniambia tunaiscan uone ni original.
Kama ni mtu wa insta, fb na whatsapp unaweza tumia hiyo lkn kwenye multi task tena na heavy app haifai.Matumizi yangu ya kawaida
Heavy app kama zipi mkuu?Kama ni mtu wa insta, fb na whatsapp unaweza tumia hiyo lkn kwenye multi task tena na heavy app haifai.
Acha kupotosha watu mimi ninayo kwanza uzuri wake inalingana shape na iPhone 15 Pro Max tangu ninunue napendelea zaidi kuitumia kuliko iPhone yangu kwasababu hii inawepesi mzuri mkononi, iPhone 15Pro Max ina tabia ya kuteleza kwanzia shape hadi kioo chake cha Retina DisplayKama ni mtu wa insta, fb na whatsapp unaweza tumia hiyo lkn kwenye multi task tena na heavy app haifai.
Wapungunguze kodi ya simu daah yaani series ya A 15 ipo laki tano? Aisee nyumbani vitu ni gharama sana wakati hapa S 21+ 5G ndio unapata kwa laki sita kama rand 3500 na 4000 maduka ya used huko Borgsburg na four ways na S 22 utra na jamii hiyo hiyo laki saba..Sumsung na Huawei zipo chini sana kuliko ndugu yao Iphone...mawasiliano ambayo ni kiunganishi cha watu kupata pesa kipo juu kodi watu wanaishia kutumia copy zake tu na kununua mara kwa mara kwa kukosa ubora cha kushangaza Kaburu nae simu nyingi wanatoa Nje huko ila wao bei ndogo na ni simu kweli hata TV hivyo hivyo ila kwetu wanataka watu waishi kama wapo Jehanamu vitu vizuri vionekana ni Anasa..
Nimeipenda samsung,infiniix GoodbyeAcha kupotosha watu mimi ninayo kwanza uzuri wake inalingana shape na iPhone 15 Pro Max tangu ninunue napendelea zaidi kuitumia kuliko iPhone yangu kwasababu hii inawepesi mzuri mkononi, iPhone 15Pro Max ina tabia ya kuteleza kwanzia shape hadi kioo chake cha Retina Display