Hii jam ya Moshi leo 24.12.2021 ni kama Mbagala

Hii jam ya Moshi leo 24.12.2021 ni kama Mbagala

THE BROKER

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
743
Reaction score
915
Wakuu kuna kamba nzito sana hapa Moshi mjini hadi njiapanda ya Himo. Abiria wamekwama today saa moja jioni

20211224_211531865.jpg
 
Hii sifa sasa. Mkaruka Njoo utie neno Huku maana hawa mangi wamezidi.
Wanataka kugeuza Moshi kuwa mbagala rangi tatu
 
Mmoja jana ameingiza ist mpya kwenye shamba la mihogo karibu na wami,twende mwendo wa slow chagaz
 
Back
Top Bottom