Hii jam ya Moshi leo 24.12.2021 ni kama Mbagala

Hii jam ya Moshi leo 24.12.2021 ni kama Mbagala

Hiyo hali ipo kila siku saa 12:30 jioni huko stendi msamvu morogoro sasa huko moshi ndio mpaka sikukuu ndio hali hiyo itokee ha ha ha ha kweli moshi bado bush
 
Wachagga ushamba utatuisha lini? Kichwani empty set kwa sifa za kipumbavvvu
Kwa mpumbavu kama wewe ataona ni upumbavu, kwa mwenye akili na uelewa ni wajibu kwenda kwenu na kujipanga kwa mwaka unaokuja.
Kuna mengi kule na ktk vikao vya ndugu kwani hutokea ktk mikoa yote na nje ya Tz kwa ajili ya vikao vya kuwekana vzr na kuangalia changamoto mbalimbali, fursa na kupanga mikakati ya kukabiliana nayo.
Kuna wachaga wapo Dodoma au Singida lkn February watahamia DSM au Mwanza, yote ni hivyo vikao.
Wewe kaeni tu buruzeni miguu kama mnakwenda labor muone kama mtakaa msogee!
 
Hizi pombe zjnazonyweka huku moshi,sijawahi kuona toka Tanganyika ipate uhuru wake.
 
Unajuana na nani sasa?....
Mazuzu wenzangu toka Uchagan. Kuttongoza hatujui, show mbovu basi tafrani. Tunajua pombe tu

rombo-puic.jpg
 
Hapo akili inawaza gambe na nyama choma za xmas...
 
Hiyo hali ipo kila siku saa 12:30 jioni huko stendi msamvu morogoro sasa huko moshi ndio mpaka sikukuu ndio hali hiyo itokee ha ha ha ha kweli moshi bado bush
Kama Mchaga napata aibu Sana kwa haya yanayotendeka
 
Back
Top Bottom