Hii jeuri ya Kagame huko Congo Mashariki inatoka wapi?

Hii jeuri ya Kagame huko Congo Mashariki inatoka wapi?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Nimesikiliza interview ya General Kagame akiongelea jinsi anavyoliona tatizo la huko Congo Mashariki.

Kiufupi anasema bila kumung'unya maneno kuwa wasipopatana anajitayarisha kwa vita na kwa lolote litakalojitokeza.

Tunakumbuka aisema hivyo kuwa atamshughulikia Kikwete mnamo miaka ya nyuma, na yaliyotokea baadaye baada ya jeshiusu lake la M23 kushughulikiwa kikamilifu huko Goma, ikabidi ajifungie ndani.

Sasa nauliza hiki kidomodomo cha kuichezea Congo kinatoka wapi?

Au kuna Taifa nyuma yake linalompa Jeuri General Kagame?
 
[emoji1][emoji1] karibuni chakula.
FV3Zh-7WYAAvDy_.jpg
 
Nimesikiliza interview ya Generali Kagame akiongelea jinsi anavoliona tatizo la huko Congo Mashariki.
Kiufupi anasema bila kumung'unya maneno kuwa wasipopatana anajitayarisha kwa vita na kwa olote litakalo jitokeza.
Tunakumbuka aisema hivyo kuwa atamshughulikia Kikwete mnamo miaka ya nyuma, na yaliyotokea baadaye baada ya jeshiusu lake la M23 kushughulikiwa kikamilifu huko Goma, ikabidi ajifungie ndani.
Sasa nauliza hiki kidomodomo cha kuichezea Congo kinatoka wapi?
Au kuna Taifa nyuma yake linalo mpa Jeuri Generali Kagame?
Kuna wanaomtumia kupora dhahabu Kongo.
Hilo halina ubishi.
 
Kagame ni kiumbe fulani tu hivi mjinga mjinga. JWTZ enzi za JK, kwa kushirikiana na jeshi la Afrika ya Kusini na DRC waliwanyoosha hao M 23 wake mpaka wakapoteana.

Sasa wakati huu tuna huyu mama, anafanya tu vile anavyo jisikia.

I wish wangeitoa tu nchi yake kwenye EAC. Maana haina faida yoyote ile zaidi kuleta vurugu na fujo tu. Juzi juzi tu hapa katoka kugombana na Burundi na Uganda! Yaani ni hopeless kabisa.
 
1657352988693.png

Jamaa alichezea FIRE na akaipata.
Inaelekea sasa amekuja mkakati mwingine!
 
Congo inawahusu nini nyie? Wajamaa mnatamani nchi zote zenye rasilimali.
 
Back
Top Bottom