Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nimesikiliza interview ya General Kagame akiongelea jinsi anavyoliona tatizo la huko Congo Mashariki.
Kiufupi anasema bila kumung'unya maneno kuwa wasipopatana anajitayarisha kwa vita na kwa lolote litakalojitokeza.
Tunakumbuka aisema hivyo kuwa atamshughulikia Kikwete mnamo miaka ya nyuma, na yaliyotokea baadaye baada ya jeshiusu lake la M23 kushughulikiwa kikamilifu huko Goma, ikabidi ajifungie ndani.
Sasa nauliza hiki kidomodomo cha kuichezea Congo kinatoka wapi?
Au kuna Taifa nyuma yake linalompa Jeuri General Kagame?