Hii kali , ex karudi anataka nimuoe kwakuwa anakazi nzuri na good ecomony

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,329
Reaction score
4,203
I will be short

Iko hivi after mishe mishe week iliyopita , nimepoa zangu home na stress za maisha , doing life analysis , napigiwa whatsap yoh . nani ex ,what new? , mimi sina neno nipo na pigika.

Anasema unajua nafanya kazi taasisi fulani , kubwa sana , am now economically stable ebu we link up and do something , am like wtf ??

Nataka stability najua wewe unaweza nipa , maana atleast najua limits zako . ukicheck mimi na stress na vitu vingine ila sio kuichapa , maana na pisi kama 1000 hivi ,

Pisi inasema am always in good moods mda wote furaha sana sio mtu wa hasira , kumbe kuzichapa variant mbali mbali watoto mikoa tofauti tofauti ndo furaha yangu , huyu mjinga anataka kunindolea .
 
Be careful young man, usikimbilie huko kichwa kichwa chunguza kwanza
Usijekuta kagombana na mumewe anataka wa kumpoza, na ww ndio rebound wake
 


HUU MTINDO WA WANAWAKE KUTAKA OANA UMEKUA SANA TANZANIA. SASA HAPO MTA ASILI MTOTO? AU MMOJA WENU ITABIDI ABEBE MIMBA?
 
Kwa huu uandishi wako itoshe kusema wewe huna mchango kwa taifa hili tukufu la Tanzania.
 
Mimi hata sijaelewa
 
Pisi inasema am always in good moods mda wote furaha sana sio mtu wa hasira , kumbe kuzichapa variant mbali mbali watoto mikoa tofauti tofauti ndo furaha yangu , huyu mjinga anataka kunindolea .
Sikia manigga km unataka kuichapa na kaileta wewe ichape km atajilipia mahari pia sio kesi endelea kuichapa kwani shilingi ngapi?
 
Mimi hata sijaelewa
Manzi karudisha majeshi anataka mchizi amuoe na mchizi mfukoni hana kitu ila manzi katusua somewhere kalamba ajira tamu maokoto km yote ndio karudisha utamu kwa jamaa anamwambia basi ili ajilie maisha yake yote amuoe mchizi kabakia ameduwaa hajui cha kufanya

Hujaelewa bado?
 
KWani wanafunzi mnaruhusiwa kumiliki simu janja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…