digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Huyo mtoto wa mama,ndo maana anajisifia kwa pesa ya demu , mwanamume hawezi kuwa hiviUnavoandika hivo kike kike, swanglish pia ata paragraph hakuna, utaweza mahusiano kweli wewe?
Huyo mtoto wa mama,ndo maana anajisifia kwa pesa ya demu , mwanamume hawezi kuwa hiviUnavoandika hivo kike kike, swanglish pia ata paragraph hakuna, utaweza mahusiano kweli wewe?
Ndio alichopendewa hiko hikoUnavoandika hivo kike kike, swanglish pia ata paragraph hakuna, utaweza mahusiano kweli wewe?
Sidhani Ata miaka 23 kafikishaNdio alichopendewa hiko hiko
Stress za umaskin zinakusumbua Hadi unatukana matusi ya nguoni. Tafuta hela uache kutukana ovyo dogo.Manzi karudisha majeshi anataka mchizi amuoe na mchizi mfukoni hana kitu ila manzi katusua somewhere kalamba ajira tamu maokoto km yote ndio karudisha utamu kwa jamaa anamwambia basi ili ajilie maisha yake yote amuoe mchizi kabakia ameduwaa hajui cha kufanya
Hujaelewa bado?
Kweli mkuu anaandika kama Wema Sepetu.Unavoandika hivo kike kike, swanglish pia ata paragraph hakuna, utaweza mahusiano kweli wewe?
Dogo Huyu miyeyusho. SanaLol 😂 cocastic
Hahaha hatare sana aseehDogo Huyu miyeyusho. Sana
🤣🤣Kwa huu uandishi wako itoshe kusema wewe huna mchango kwa taifa hili tukufu la Tanzania.
Kwa nn hiz shida zimezidi sanauzinzi haulipi ? japo sikuhukumu maana wote tunahitaji msaada wa Mungu Olumba
Kupata kiajira ndio kutusua kumbe!??? Salary ngap, 10M kwa mwezi au??Manzi karudisha majeshi anataka mchizi amuoe na mchizi mfukoni hana kitu ila manzi katusua somewhere kalamba ajira tamu maokoto km yote ndio karudisha utamu kwa jamaa anamwambia basi ili ajilie maisha yake yote amuoe mchizi kabakia ameduwaa hajui cha kufanya
Hujaelewa bado?
🤣🤣Mwambie kama kweli anakupenda aende nyumbani kwenu akaongee na wazazi wako na akutolee mahari hivyo hivyo hata kama wewe ni mwanaume maana unaandika kama demu
Siku zote alikuwa wapi?I will be short
Iko hivi after mishe mishe week iliyopita , nimepoa zangu home na stress za maisha , doing life analysis , napigiwa whatsap yoh . nani ex ,what new? , mimi sina neno nipo na pigika.
Anasema unajua nafanya kazi taasisi fulani , kubwa sana , am now economically stable ebu we link up and do something , am like wtf ??
Nataka stability najua wewe unaweza nipa , maana atleast najua limits zako . ukicheck mimi na stress na vitu vingine ila sio kuichapa , maana na pisi kama 1000 hivi ,
Pisi inasema am always in good moods mda wote furaha sana sio mtu wa hasira , kumbe kuzichapa variant mbali mbali watoto mikoa tofauti tofauti ndo furaha yangu , huyu mjinga anataka kunindolea .