I will be short
Iko hivi after mishe mishe week iliyopita , nimepoa zangu home na stress za maisha , doing life analysis , napigiwa whatsap yoh . nani ex ,what new? , mimi sina neno nipo na pigika.
Anasema unajua nafanya kazi taasisi fulani , kubwa sana , am now economically stable ebu we link up and do something , am like wtf ??
Nataka stability najua wewe unaweza nipa , maana atleast najua limits zako . ukicheck mimi na stress na vitu vingine ila sio kuichapa , maana na pisi kama 1000 hivi ,
Pisi inasema am always in good moods mda wote furaha sana sio mtu wa hasira , kumbe kuzichapa variant mbali mbali watoto mikoa tofauti tofauti ndo furaha yangu , huyu mjinga anataka kunindolea .