Hii kali , ex karudi anataka nimuoe kwakuwa anakazi nzuri na good ecomony

Stress za umaskin zinakusumbua Hadi unatukana matusi ya nguoni. Tafuta hela uache kutukana ovyo dogo.
 
Mwambie kama kweli anakupenda aende nyumbani kwenu akaongee na wazazi wako na akutolee mahari hivyo hivyo hata kama wewe ni mwanaume maana unaandika kama demu
 
uzinzi haulipi ? japo sikuhukumu maana wote tunahitaji msaada wa Mungu Olumba
 
Kupata kiajira ndio kutusua kumbe!??? Salary ngap, 10M kwa mwezi au??
 
Mwambie kama kweli anakupenda aende nyumbani kwenu akaongee na wazazi wako na akutolee mahari hivyo hivyo hata kama wewe ni mwanaume maana unaandika kama demu
🤣🤣
 
Siku zote alikuwa wapi?
Na ni kwa muda gani na nini kilitokea kati yenu kabla hajakukumbuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…