bernardp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 619
- 918
Chemical changes are permanent changes comparing to physical changes, Diamond has surrendered the case, he doesn't wish the chemical changes to happen.
Are you a robot........ Sooooo busy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chemical changes are permanent changes comparing to physical changes, Diamond has surrendered the case, he doesn't wish the chemical changes to happen.
Hana anachojua Gwajima, ni Historian , hajui chochote kuhusu Chemistry.Kesho watu wanakumbushwa kwenda na Scientific Calculators..
Kuzaa na Mke wa mtu kunahitaji adabu ya juu. Alishamjengea nyumba iko Mabibo, na akaonywa kuwa akikosea tu akaongelea juu ya Flora Mbasha kukanusha kuzaa naye, atajuta kuzaliwa. Mbasha mzima mzima hadi DNA.Hivi mzee WA single touch double manifestation mbona huwa hamjibu Emma Mbasha mbali na kuwa anamtuhumu mara kwa mara?
Mmhhhh!!!Kuzaa na Mke wa mtu kunahitaji adabu ya juu. Alishamjengea nyumba iko Mabibo, na akaonywa kuwa akikosea tu akaongelea juu ya Flora Mbasha kukanusha kuzaa naye, atajuta kuzaliwa. Mbasha mzima mzima hadi DNA.
RIP Kevin Ferguson aka Kimbo Slice
View attachment 493002 wakali wa kemia hii ni Diamond vs Gwajiking
Hivi una undugu na kiumbe anayeitwa shetani?Kama hujui,basis mtafute yaani mnafanana saana!Tuone huyo mchungaji msanii atafanya nini!! kajaribu kutengeneza matukio kwa RC ili atambe lakini imeshindikana kwanza alihesabu siku za matanga akitarajia ule mchezo wa cctv alioshirikiana na shilawadu ungetema dili likaharibika baada ya mshua kujua mchezo mzima ,mwishowe kajifanya anafunga sijui mafungo yameishia wapi!! sasa anajifanya anataka kubalilisha diamond into water? naona kashapata cha kuongezea sadaka kesho
Single touch double manifestation...Gwajima hatari sanaHuyu mzee anataka kujigeuza Mange wa Tanganyika kwa watu kumuogopa au kusema maoni yao kwa kuhofia Single Touch Double Manifestation aiwezekani ni lazima kanisa lake lijulikane kama ni tawi la siasa au ni kanisa
Huyu mzee akiachwa atakuwa kama MangeView attachment 493016