HII KALI... MKEMIA UMETISHA.

HII KALI... MKEMIA UMETISHA.

Chemical changes are permanent changes comparing to physical changes, Diamond has surrendered the case, he doesn't wish the chemical changes to happen.

Are you a robot........ Sooooo busy
 
Hivi mzee WA single touch double manifestation mbona huwa hamjibu Emma Mbasha mbali na kuwa anamtuhumu mara kwa mara?
 
Hivi mzee WA single touch double manifestation mbona huwa hamjibu Emma Mbasha mbali na kuwa anamtuhumu mara kwa mara?
Kuzaa na Mke wa mtu kunahitaji adabu ya juu. Alishamjengea nyumba iko Mabibo, na akaonywa kuwa akikosea tu akaongelea juu ya Flora Mbasha kukanusha kuzaa naye, atajuta kuzaliwa. Mbasha mzima mzima hadi DNA.
 
Mmhhhh!!!
Najiulizaga sana huyu Mzee mbona hamjibu kabisa Mbasha?
Labda kweli hiyo issue inamuhusu anyways
 
RIP Kevin Ferguson aka Kimbo Slice
ca661d5bffbff428c407aade9c9d90f4.jpg
 
Tuone huyo mchungaji msanii atafanya nini!! kajaribu kutengeneza matukio kwa RC ili atambe lakini imeshindikana kwanza alihesabu siku za matanga akitarajia ule mchezo wa cctv alioshirikiana na shilawadu ungetema dili likaharibika baada ya mshua kujua mchezo mzima ,mwishowe kajifanya anafunga sijui mafungo yameishia wapi!! sasa anajifanya anataka kubalilisha diamond into water? naona kashapata cha kuongezea sadaka kesho
Hivi una undugu na kiumbe anayeitwa shetani?Kama hujui,basis mtafute yaani mnafanana saana!
 
Back
Top Bottom