Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Jana nikiwa nasikiliza kipindi cha michezo cha Clouds FM saa tatu usiku nilifahamu kuwa baadhi ya waandishi wa habari wameamua kuunda kamati ya (eti) kuhamasisha ushindi kwa timu ya miguu ya taifa.
Niliona ni jambo jema ila kilichonishagaza ni kumsikia mmoja wa watangazaji (toka Azam) akimsifia sana kocha huyu Mrundi badala ya kueleza mikakati ya kamati hiyo. Alienda mbali mno kama vile ni namna ya kumpigia kampeni ya kuwa kocha mkuu wa timu ya miguu ya taifa letu.
Mie najiuliza mpaka sasa vigezo viliopelekea TFF kumchagua huyu Mrundi kufundisha timu yetu ya miguu ya taifa tena akiwa kocha wa klabu ya Azam!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?