Hii kamati ni ya timu ya Taifa au kocha?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Jana nikiwa nasikiliza kipindi cha michezo cha Clouds FM saa tatu usiku nilifahamu kuwa baadhi ya waandishi wa habari wameamua kuunda kamati ya (eti) kuhamasisha ushindi kwa timu ya miguu ya taifa.
Niliona ni jambo jema ila kilichonishagaza ni kumsikia mmoja wa watangazaji (toka Azam) akimsifia sana kocha huyu Mrundi badala ya kueleza mikakati ya kamati hiyo. Alienda mbali mno kama vile ni namna ya kumpigia kampeni ya kuwa kocha mkuu wa timu ya miguu ya taifa letu.
Mie najiuliza mpaka sasa vigezo viliopelekea TFF kumchagua huyu Mrundi kufundisha timu yetu ya miguu ya taifa tena akiwa kocha wa klabu ya Azam!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?
 
Kaimu kocha mkuu: Ndaiyagire - AZAM Fc
Wasaidizi:
Selemani Matola - POLISI
Juma Mgunda - COASTAL UNION

Strategically TFF wasingeweza kuleta kocha mgeni asiejua A wala B... Wachezaji... League.. afu atupeleke CHAN.. Games zetu na Kenya ni kama zimamoto... Zinahitaji kocha anaewajua wachezaji vizuri...
 
Bora huyo Ndairagije ila siyo Amuneke! Walau ameteua kikosi ambacho kina mahitaji ya wachezaji karibia wote. Iwapo tutatolewa, nitakubali matokeo.
 
Kwani hii timu ni ya taifa au ya ccm?

Back
Top Bottom