Hii kampeni OPOWAZ ya tarehe 8/8/2026 ina ukweli wowote?

Hii kampeni OPOWAZ ya tarehe 8/8/2026 ina ukweli wowote?

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
8/8/2026 utafanyika uzinduzi mkubwa sana wa kampeni ya OPOWAZ hii ni kampeni rasmi ya kuwaondoa wazanzibari Tanganyika na watanganyika warudi nyumbani kila mmoja akae kwake ajenge nchi yake hivyo basi kama umepangisha mzanzibar jiandae kumuondoa kwaamani kukwepa hasara ,

Nduguzetu watanganyika mlioko zanzibar mrudi nyumbani tuijenge Tanganyika yetu kwa amani kabisa bila kuulizana maswali kwamaana huu muungano unawanufaisha watawala na kwakua wameshupaza shingo tunataka tuwaonyeshe nguvu tuliyonayo kwasababu hawa watu tuko nao mitaani tunaishi nao .

Chuki kubwa iliyoibuka hivi karibuni ni wazi kwamba tumechokana hatutakani tena ila watawala haramu kwa maslah yao binafsi wanatulazimisha angalia wanaoshabikia mauwaji ya mo 29 ni wazanzibari tazama wanaokosoa mabadiliko na kudai haki ni wazanzibari hivyo kila mmoja arudi kwao ajenge nchi yake....
 
Huenda tukawa tuna chuki kama wabara na wazanzibari lakini hatua kama hiyo ni uvunjifu mkubwa wa amani ktk nchi hii
Kampeni za ajabu kama hizo ni za kukemea kwa nguvu zote sisi ni wamoja siasa na wanasiasa wasifanye tukatoana roho na kulishana sumu za ajabu ajabu kama hizi
 
Watawala ndio wanalazimisha watu wafike huko.
 
Back
Top Bottom