The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Mkuu ni kwamba hujui tunaongozwa na watu wa aina gani?Yaani hii kampeni ya nishati safi ni kampeni hewa ambapo hakuna uhusiano kati ya kelele zinazopigwa na hali halisi.
Siioni nia ya serikali kusaidia wananchi zaidi ya hadithi na porojo na propaganda zinazopigwa kwenye vyombo vya habari.
Bei ya gas inapanda kila kukicha wakati viongozi wako bize kugawa vimitungi.
Sasa unagawa mitungi ilihali bei ya ges inapanda kila siku?
Badala ya kutumia mamilioni ya pesa kufanya promo ya jambo hili hayo mapesa yalitakiwa kupelekwa kushusha bei ya ges.
Bei ya gas ikishuka hutahitaji kumtangazia Wala kumuekimisha mtu yeyote kuhusu nishati gani atumie.
Yaa nadhani ndo maana tunapoteaWamemgeuza dalali wa kuuza majiko ya mjamaa
Leta bei!Sasa unagawa mitungi ilihali bei ya ges inapanda kila siku?
Hivi wewe ulisoma somo la Marketing au extension? Bidhaa au Teknolojia mpya onapokuwa inaingizwa kwa watumiaji wapya, waliokuwa na mbadala ambao unatakiwa kuachwa, hapo lazima ufanye promotion na kampeni za kutosha ikiwemo ruzuku ili kuvutia watu wabadiri kutoka technolojia au product waliyokuwa wamezoe ili waanze kutumia hiyo mpya ambayo unona ina manufaa si kwa tumiaji tu bali pia kwa mazingira yetu. Kuna suala la kudadiri mazoea, utamaduni na fikra za watumiaji kwanza.Yaani hii kampeni ya nishati safi ni kampeni hewa ambapo hakuna uhusiano kati ya kelele zinazopigwa na hali halisi.
Siioni nia ya serikali kusaidia wananchi zaidi ya hadithi na porojo na propaganda zinazopigwa kwenye vyombo vya habari.
Bei ya gas inapanda kila kukicha wakati viongozi wako bize kugawa vimitungi.
Sasa unagawa mitungi ilihali bei ya ges inapanda kila siku?
Badala ya kutumia mamilioni ya pesa kufanya promo ya jambo hili hayo mapesa yalitakiwa kupelekwa kushusha bei ya ges.
Bei ya gas ikishuka hutahitaji kumtangazia Wala kumuekimisha mtu yeyote kuhusu nishati gani atumie.
KWani hao mnaowapatia mitungi midogo ya gesi ya 40,000 una uhakika kuwa wao hawana uwezo huo wa kuinunua?!!fuatiilia mala wamalizapo hiyo gesi ya bure huwa wanaenda kujaza tena?!!mingi huwa wanatupa kule na kuuza wanarudi kule kule kwenye kuni na mkaa..ni utapeli tu!!waondoeeni watu kwanza kwenye umasikini mkubwa huuHivi wewe ulisoma somo la Marketing au extension? Bidhaa au Teknolojia mpya onapokuwa inaingizwa kwa watumiaji wapya, waliokuwa na mbadala ambao unatakiwa kuachwa, hapo lazima ufanye promotion na kampeni za kutosha ikiwemo ruzuku ili kuvutia watu wabadiri kutoka technolojia au product waliyokuwa wamezoe ili waanze kutumia hiyo mpya ambayo unona ina manufaa si kwa tumiaji tu bali pia kwa mazingira yetu. Kuna suala la kudadiri mazoea, utamaduni na fikra za watumiaji kwanza.
Ndugu the last... Hebu kuwa serious kidogo bhana isije kuwa na we ni wanufaika wa hizo kampeni. Unakampniaje kitu amacho ni ghali kuliko kilichopo na si tu kwamba ni ghali Bali kinapanda bei kila uchao.Hivi wewe ulisoma somo la Marketing au extension? Bidhaa au Teknolojia mpya onapokuwa inaingizwa kwa watumiaji wapya, waliokuwa na mbadala ambao unatakiwa kuachwa, hapo lazima ufanye promotion na kampeni za kutosha ikiwemo ruzuku ili kuvutia watu wabadiri kutoka technolojia au product waliyokuwa wamezoe ili waanze kutumia hiyo mpya ambayo unona ina manufaa si kwa tumiaji tu bali pia kwa mazingira yetu. Kuna suala la kudadiri mazoea, utamaduni na fikra za watumiaji kwanza.
Mtungi wa kg 6 unabadilishwa kati ya 25 hadi 30 wakati mkubwa uko 57 hadi 60Leta bei!
Ili kufanikisha Kampeni hii nzuri ya kuwapatia Watanzania Nishati safi ya Kupikia ambayo ni affordable kwa wengi, nakubaliana na wewe kwamba tunahitaji an integrated approach ambayo pia inaendana na economic empowerment ya wananchi wetu ili wawe na uwezo wa kumudu hizo nishati safi za kupikia na already nadhani the Government is already doing this through various programs and initiatives za kuondoa umasikini na kuwezesha wananchi Kiuchumi.KWani hao mnaowapatia mitungi midogo ya gesi ya 40,000 una uhakika kuwa wao hawana uwezo huo wa kuinunua?!!fuatiilia mala wamalizapo hiyo gesi ya bure huwa wanaenda kujaza tena?!!mingi huwa wanatupa kule na kuuza wanarudi kule kule kwenye kuni na mkaa..ni utapeli tu!!waondoeeni watu kwanza kwenye umasikini mkubwa huu
Ili hii hoja ya Nishati Safi iweze kuwa na mashiko kwako, unapendekeza bei ya mitungi hiyo iwe kiasi gani.?Mtungi wa kg 6 unabadilishwa kati ya 25 hadi 30 wakati mkubwa uko 57 hadi 60
Hapa hatuangalii monetary costs only, but largely environmental costs and even health impact to the users.Ndugu the last... Hebu kuwa serious kidogo bhana isije kuwa na we ni wanufaika wa hizo kampeni. Unakampniaje kitu amacho ni ghali kuliko kilichopo na si tu kwamba ni ghali Bali kinapanda bei kila uchao.
Hapo unapiga kampeni!? au kinyume chake?
Majiko ya gesi yakitumika mengi na mara nyingi ndipo King maker rosti-tamu-aziza anavyozidi kutajirika na kuwa na nguvu zaidi ya kutuchagulia viongozi.Yaani hii kampeni ya nishati safi ni kampeni hewa ambapo hakuna uhusiano kati ya kelele zinazopigwa na hali halisi.
Siioni nia ya serikali kusaidia wananchi zaidi ya hadithi na porojo na propaganda zinazopigwa kwenye vyombo vya habari.
Bei ya gas inapanda kila kukicha wakati viongozi wako bize kugawa vimitungi.
Sasa unagawa mitungi ilihali bei ya ges inapanda kila siku?
Badala ya kutumia mamilioni ya pesa kufanya promo ya jambo hili hayo mapesa yalitakiwa kupelekwa kushusha bei ya ges.
Bei ya gas ikishuka hutahitaji kumtangazia Wala kumuekimisha mtu yeyote kuhusu nishati gani atumie.
Ninacho pinga mimi ni kutumia resources nyingi kupigia debe kitu ambacho wananchi wanaona ni ghali kuliko walichozoeaIli kufanikisha Kampeni hii nzuri ya kuwapatia Watanzania Nishati safi ya Kupikia ambayo ni affordable kwa wengi, nakubaliana na wewe kwamba tunahitaji an integrated approach ambayo pia inaendana na economic empowerment ya wananchi wetu ili wawe na uwezo wa kumudu hizo nishati safi za kupikia na already nadhani the Government is already doing this through various programs and initiatives za kuondoa umasikini na kuwezesha wananchi Kiuchumi.
Hayo unayosema ni ya kweli sana lkn ili tufikie mafanikio tarajiwa ya kweli tulipaswa kuweka mzigo wa kutosha kwenye gas ili bei ya gas iwe ndogo kulinganisha na nishati zingineHapa hatuangalii monetary costs only, but largely environmental costs and even health impact to the users.