Hii kampeni ya nishati safi ni fake na ni porojo mwanzo mwisho

Hii kampeni ya nishati safi ni fake na ni porojo mwanzo mwisho

Majiko ya gesi yakitumika mengi na mara nyingi ndipo King maker rosti-tamu-aziza anavyozidi kutajirika na kuwa na nguvu zaidi ya kutuchagulia viongozi.
Regardless of the product brand in the market, as long as we the users we have the liberty to choose which brand to use, we can decide to boycott your perceived enemy products by buying and using the alternative brands in the market, which I understand there are many in the LPG and its cookers. So kama King Maker huyo ananufaika na hizi kampeni as a legitimate player in the LPG Market, the only way we can counter his influence is buying the products of his competitors, which are having even better and quality products in the LPG Market in Tanzania, I will not name them for the sake of fair play.
 
The Government can keep the costs of energy through subsidies but also lowered taxation on the product. It has not done eneough in this regard.
Yea I think here now you are.
Serikali inachofanya sasa ni kama kugombania demu na mwenye hela huku wewe ukijivunia maneno mazuri.
Obviously mwenye hela atakushinda
 
Yaani hii kampeni ya nishati safi ni kampeni hewa ambapo hakuna uhusiano kati ya kelele zinazopigwa na hali halisi.

Siioni nia ya serikali kusaidia wananchi zaidi ya hadithi na porojo na propaganda zinazopigwa kwenye vyombo vya habari.

Bei ya gas inapanda kila kukicha wakati viongozi wako bize kugawa vimitungi.

Sasa unagawa mitungi ilihali bei ya ges inapanda kila siku?

Badala ya kutumia mamilioni ya pesa kufanya promo ya jambo hili hayo mapesa yalitakiwa kupelekwa kushusha bei ya ges.

Bei ya gas ikishuka hutahitaji kumtangazia Wala kumuekimisha mtu yeyote kuhusu nishati gani atumie.
Wahuni hao mkuuu ,ni ka mradi.ka mtu flani afu anatumika raisi wa nchi ya Greenland.

Sisi kijijini tumekulia kuni hakuna hata mmoja kwenye familia amefariki wa sababu ya kuni ,TB
 
Hayo unayosema ni ya kweli sana lkn ili tufikie mafanikio tarajiwa ya kweli tulipaswa kuweka mzigo wa kutosha kwenye gas ili bei ya gas iwe ndogo kulinganisha na nishati zingine
Hapo na mimi naungana na wewe Serikali iweke ruzuku ya kutosha Gharama za Gas na Mitungi ziwe affordable kwa majority , na hata huko nchi kama Nigeria Nishati ya Mafuta siku zote huwa inauzwa kwa bei zenye ruzuku, na nchi nyingine nyingi ili kupunguzia wananchi gharama, so our beloved Government can do same in LPG and other Clean Cooking Energies. Uwezo wa Kufanya hivyo inao kama itabana matumizi yasiyo ya lazima kule kwingine . Nani wa kuwasemea hayo wananchi?
 
Wahuni hao mkuuu ,ni ka mradi.ka mtu flani afu anatumika raisi wa nchi ya Greenland.

Sisi kijijini tumekulia kuni hakuna hata mmoja kwenye familia amefariki wa sababu ya kuni ,TB
Hapana hapa usipotoshe, hii ni Sayansi , so cha msingi wewe ni kupapmbana bei za nishati zikashuka, kuhusu athari za kuni na mkaa usibishe kwa hilo, Huko kijijini kwetu hata kwenu watu waliokufa kutokana na athari za moshi wa kuni na mkaa ni wengi, na takwimu za dinia zinataja watu zaidi ya Milion 3 kwa mwaka wanakufa kutokana na magonjwa ya pneumonia na matatizo mengine kwenye mifumo ya kupumua kutokana na huo moshi na vumbi la mkaa , na hapa TZ ni same effect. Misitu kwa TZ tunapoteza takriabani Hekta 470,000 kwa Mwaka kutokana na kuvuna mkaa na kuni. Tuache hali iendelee kuwa hivi? Hapana
 
KWani hao mnaowapatia mitungi midogo ya gesi ya 40,000 una uhakika kuwa wao hawana uwezo huo wa kuinunua?!!fuatiilia mala wamalizapo hiyo gesi ya bure huwa wanaenda kujaza tena?!!mingi huwa wanatupa kule na kuuza wanarudi kule kule kwenye kuni na mkaa..ni utapeli tu!!waondoeeni watu kwanza kwenye umasikini mkubwa huu
Hawa wanaopewa baiskeli wawe na Uwezo wa kununua gasi nishati safi nafikiri inalenga kijijini zaidi mjini angalau Je huko kijijini watu wana huo Uwezo wa kujaza Gas je uko vijijini mawakala wa gasi wapo?
 
Kuna sehemu kubwa ya TZ bado kutumia gas ni kama jambo la ufahari, ukisema unagawa bure unaonekana mkombozi, ila gharama ya gesi sio ishu wanayozungumza wala kuweka ahadi ya kupunguza.
 
In many other parts of Tanzania like in many other countries (LMICs), the simple act of cooking is a major health and safety risk. The inefficient combustion of solid fuels (wood, coal, charcoal, dung, and crop waste) and kerosene in simple stoves and devices produces high levels of household air pollution (HAP). Chronic exposure to HAP increases the risk of non-communicable disease including ischemic heart disease, stroke, chronic obstructive pulmonary disease, lung cancer, as well as pneumonia. Overall, HAP exposure accounts for some 3.8 premature deaths annually. Use of open fires or poorly balanced pots is also a major cause of burns and scalds in LMICs, while kerosene and charcoal use in the home is a major source of poisonings from either ingestion or carbon monoxide exposure.

Households that rely on polluting energy systems frequently have to travel great distances to gather fuel— sometimes traveling hours each week—putting them at increased risk of musculoskeletal injury and violence. Fuel collection is often tasked to women and children, perpetuating the negative socioeconomic and gender inequities of energy poverty by taking away time that could be spent on other activities like schooling, income-generation, and socializing.4 Polluting cooking practices are also an important cause of environmental degradation and climate change: the black carbon from cooking, heating and lighting is responsible for 25% of anthropogenic global black carbon emissions5, and around 30% of wood fuels harvested globally are unsustainable.
 
Hawa wanaopewa baiskeli wawe na Uwezo wa kununua gasi nishati safi nafikiri inalenga kijijini zaidi mjini angalau Je huko kijijini watu wana huo Uwezo wa kujaza Gas je uko vijijini mawakala wa gasi wapo?
Kwa jitihada zinazofanywa na serikali zina nia nzuri, japo hazijotosha, so we need to push our Government to do more and allocate more resources in subsidies for LPG and also lower the Taxation on cookers and related devices.
 
Serikali yetu imeziba masikio, wananchi tutaumia sana. Mdau Logikos amewahi kushauri mambo mengi kisomi kabisa.

 
Mkuu kuna tatizo haujalingundua hata hio bei ya gesi ikishuka ni kwamba pesa zako za kodi ndio zitatumika kushusha hio gesi ambayo wala sio yetu tunainunua kutoka ughaibuni...


 
KWani hao mnaowapatia mitungi midogo ya gesi ya 40,000 una uhakika kuwa wao hawana uwezo huo wa kuinunua?!!fuatiilia mala wamalizapo hiyo gesi ya bure huwa wanaenda kujaza tena?!!mingi huwa wanatupa kule na kuuza wanarudi kule kule kwenye kuni na mkaa..ni utapeli tu!!waondoeeni watu kwanza kwenye umasikini mkubwa huu
are you serious kwa haya uliyo post? Haya mambo lazima uyaangalie in broad perspective .Pasipo kuweka bei rafiki kulingana na kipato cha wananchi walio wengi ambao wapo vijijini ambapo ndipo kuna misitu ni sawa na mbuni kuficha kichwa katika kajikichaka akizani kajificha kumbe anajidanganya.
 
Back
Top Bottom