technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Uangalie vizuri inaitwa TOPDogo au wewe mnauza nini kwenye hiyo kampuni?
Wezi upatu huoMwenye uelewa wa hizi kampuni atoe elimu zinavyofanyakazi maana naona Kama vijana watashindwa kufanya kazi wajikite kwenye Hawa jamaa
Sawa mkuuKasongo yeye kashaliwa kampuni kama hizi ilikuwepo MURA EMPIRE, SCATEC, KALYNDA, watu walipigwa vibaya mno
Hapo kashapigwa tayari aandae wazo jongine,na akizubaa watamfanya kama stepping stone awe kama ushuhuda huku wengine Tena wakipigwaMwenye uelewa wa hizi kampuni atoe elimu zinavyofanyakazi maana naona Kama vijana watashindwa kufanya kazi wajikite kwenye Hawa jamaa
Royal Q ni shida tupu,wanapigwa na motivation kwenye zoom zinaendeleaKuna mwingine anaitwa Royal Q. Tokea nipigwe kalyinda na nilipokuja kusoma richest man in Babylon nilikuwa wanaokuahidi utajiri wa haraka haraka ni matapeli.