Hii kasheshe kubwa

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Sijawai kuona mihogo au kisamvu kikiungwa na nyanya... Tangu nizaliwe hivi sasa najonea viroja kwa huyu demu wangu mpya juzi kanilisha majani ya kunde chukuchuku yalioungwa na kitunguu na chmvi tu, jana kapika mihogo kaiunga na nyanya bila nazi akaipondaponda Sijawai kwa kweli kula hivyo nafanya mpango nimrudie mke wangu mpendwa niliozowea mapishi yake matamu
 
Muelekeze ataelewa inaweza kuwa ndo jinsi wanavyopika kwao sasa kama hupendi inafaa umuelekeze apike unavyopenda lkn ukileta huku jf hawez kuelewa wala kujua kama hupend.....mvumilie atajua kama kwel wampenda.....kwanza kwann ulimuacha mkeo.
 
Mbishi mtu mwenyewe sasa...hiyo ya kumuacha mke tuache story ndefu lkn tushamaliza tofauti zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…