Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Sijawai kuona mihogo au kisamvu kikiungwa na nyanya... Tangu nizaliwe hivi sasa najonea viroja kwa huyu demu wangu mpya juzi kanilisha majani ya kunde chukuchuku yalioungwa na kitunguu na chmvi tu, jana kapika mihogo kaiunga na nyanya bila nazi akaipondaponda Sijawai kwa kweli kula hivyo nafanya mpango nimrudie mke wangu mpendwa niliozowea mapishi yake matamu