Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
- #21
Nguvu ninazo za kutosha tu mkuuItakua yuko kwenye kampeni ya kukuongezea nguvu za kiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu ninazo za kutosha tu mkuuItakua yuko kwenye kampeni ya kukuongezea nguvu za kiume
Mwambie ajiunge kwenye magroup ya upish ya whatsApp anaweza akapata maujuz itamsaidia pia.Hapana kwa kweli mwanamke mapishi
Huwezi jua mkuu. Muulize kwanzaNguvu ninazo za kutosha tu mkuu
Shida yote ya nini!Mwambie ajiunge kwenye magroup ya upish ya whatsApp anaweza akapata maujuz itamsaidia pia.
Asile mbele ya mahaba ya baby? anakula tu kwa shingo upande ili asimkasirishe switatiKula tu kama vinalika
Siwezi mkuu roho yangu yenyewe imeumbwa na kinyaaAsile mbele ya mahaba ya baby? anakula tu kwa shingo upande ili asimkasirishe switati
Sio kiiviOneni kazi hiiView attachment 758801
Ndio kiapo cha ndoa alicho ahidi kukiishiMvumilie kwenye shida na raha
Noma usicheke mkuu... Usiombee yakukute hapa nilipo naenda bar kuagiza ugali nyama chomaHahahaha
Ni kweli kabisa ,huyo mke atakua tabibu wa tiba mbadala zinazotumia chakula na matunda lishe/tibaItakua yuko kwenye kampeni ya kukuongezea nguvu za kiume
Demu tuNdio kiapo cha ndoa alicho ahidi kukiishi
Nunua sufuria nzuri mkuu..acha kula bati na kutu hizo...Oneni kazi hiiView attachment 758801
Vip kuna kauzi kasema kapungukiwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakua yuko kwenye kampeni ya kukuongezea nguvu za kiume
Sasa hapo unapotea ndugu, hizo nyama choma na mikuku ya kisasa/kizungu siyo rafiki kwa afya yako hasa ya uzazi mkuuNoma usicheke mkuu... Usiombee yakukute hapa nilipo naenda bar kuagiza ugali nyama choma
Sufuria iko fresh hiyo mkuu muoshaji ndio matatizoNunua sufuria nzuri mkuu..acha kula bati na kutu hizo...
Pole sana mkuuI understand the struggle... Niliwahi kataa pema pabaya pakanidaka... kurudi kule nakuta kidume kimetake over... hadi Leo namuitaga mama yule mwanamke. Nilichezea bahati sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo dada akiingia humu lazima akupige chiniSufuria iko fresh hiyo mkuu muoshaji ndio matatizo