Hii kasheshe kubwa

Hii kasheshe kubwa

Ila ipo style ya kupika miihogo pia unaweza weka nyanya n nyama, ila huipondii pondii[emoji23][emoji23]
 
Sijawai kuona mihogo au kisamvu kikiungwa na nyanya... Tangu nizaliwe hivi sasa najonea viroja kwa huyu demu wangu mpya juzi kanilisha majani ya kunde chukuchuku yalioungwa na kitunguu na chmvi tu, jana kapika mihogo kaiunga na nyanya bila nazi akaipondaponda Sijawai kwa kweli kula hivyo nafanya mpango nimrudie mke wangu mpendwa niliozowea mapishi yake matamu
Hahahhahaaa... Hayo ndo mapenz ya sababu
 
Itabidi niungane na Mzigua hapa sasa kuamini tatizo lipo kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona suala la kupika ni dogo sana mkuu,ni lakuelekezana tu na kufundishana,

Tunaishi kwa mapungufu yetu,hata wewe hauko perfect kuna mengi tu unakosea,na wala hajafikiria kukuanika!

Nimeona hapo juu kuna mdau kasema labda una tatizo nguvu za kiume,inawezekana ikawa hivyo,sasa bibie kuliko kukuanika kaamua kukutafutia macharger Mkuu
Mie niko fiti mzigua namualika aje anipime kama sina nguvu za kiume, na mpaka watoto mapacha ninao baada ya mgegedo
"Takatifu" kwa mama watoto
 
Sijawai kuona mihogo au kisamvu kikiungwa na nyanya... Tangu nizaliwe hivi sasa najonea viroja kwa huyu demu wangu mpya juzi kanilisha majani ya kunde chukuchuku yalioungwa na kitunguu na chmvi tu, jana kapika mihogo kaiunga na nyanya bila nazi akaipondaponda Sijawai kwa kweli kula hivyo nafanya mpango nimrudie mke wangu mpendwa niliozowea mapishi yake matamu
Hahahaaaa
 
Hamna mtu anaependa kula uchafu mkuu
Kwani ule ni uchafu Mkuu. Nadhani ni namna alivyokoroga koroga sababu lait ungepata mpishi huo muogo wala usingekuwa na muonekano huo uliouweka hapo.

Hivyo hakuna kitu cha kuliwa halafu kikaitwa uchafu Mkuu.
 
Mbona suala la kupika ni dogo sana mkuu,ni lakuelekezana tu na kufundishana,

Tunaishi kwa mapungufu yetu,hata wewe hauko perfect kuna mengi tu unakosea,na wala hajafikiria kukuanika!

Nimeona hapo juu kuna mdau kasema labda una tatizo nguvu za kiume,inawezekana ikawa hivyo,sasa bibie kuliko kukuanika kaamua kukutafutia macharger Mkuu
Sema wewe Sabosabo. Hakuna aliyezaliwa anajua na hakuna mkamilifu pia.
 
Ngumu kumeza mkuu
Ushauri wangu;
Mlete dada yako wa karibu akae kwako hata miezi 3 ila lengo lake iwe ni kumuelekeza wifi yake kupika ila mpenzi wako asijue lengo la ujio wa dada yako.
Anaweza kuchukia.

Kumbuka huyo ni mkeo mtarajiwa. Usipomfundisha mapema hata sisi wageni tukija kwako hatutafurahia msosi.
 
Back
Top Bottom