Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
- #101
Aelekezeki... Stak mieEwaaaa. Huu ndio ukweli rafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aelekezeki... Stak mieEwaaaa. Huu ndio ukweli rafiki.
Mimi mwenyewe toka niko nyumbani nimejifunza kupika naweza kupika,nadhani mwanamke huyo maybe ni wale ambao toka wadogo wao kupikiwa,kufuliwa na mfanyakazi tu.Ila sio mbaya akatafutiwa darasa la kujifunza kupika sababu sidhani kama huyo mdada anapenda kupika hayo makwasu kwasu.
Ajui kupika ngumu kumeza... Ndio madhara ya kulikimbia jiko.Kwani ule ni uchafu Mkuu. Nadhani ni namna alivyokoroga koroga sababu lait ungepata mpishi huo muogo wala usingekuwa na muonekano huo uliouweka hapo.
Hivyo hakuna kitu cha kuliwa halafu kikaitwa uchafu Mkuu.
Unakula ukitoka hapo tumbo lote linachafuka, usiombe utoe hewa akai mtu hapoSema wewe Sabosabo. Hakuna aliyezaliwa anajua na hakuna mkamilifu pia.
Mmh. Sio bure una lako jambo Mkuu.Aelekezeki... Stak mie
Apambane na hali yake tu mkuu Siwezi kwa kweli na isitoshe madada zangu wote wapo kwa waume zao.Ushauri wangu;
Mlete dada yako wa karibu akae kwako hata miezi 3 ila lengo lake iwe ni kumuelekeza wifi yake kupika ila mpenzi wako asijue lengo la ujio wa dada yako.
Anaweza kuchukia.
Kumbuka huyo ni mkeo mtarajiwa. Usipomfundisha mapema hata sisi wageni tukija kwako hatutafurahia msosi.
Ajui kupika kwa ssbabu.Jamaa kamchoka mke wake
Na wengi huwa wanaathiriwa na hiyo hali ya kufanyiwa jambo na wasaidizi wa ndani.Mimi mwenyewe toka niko nyumbani nimejifunza kupika naweza kupika,nadhani mwanamke huyo maybe ni wale ambao toka wadogo wao kupikiwa,kufuliwa na mfanyakazi tu.
Kweli still hapo anaweza akajifunza akawa vizuri.
Aelekezeki sasa jana tu usiku kapika waliMie naona kula na aina ya vyakula kama mazoea, umezoea mihogo kupikwa hivyo ila mie naona mapishi ama chakula ni ubunifu sijui nisemaje, na ndio maana ukitoka ukienda nchi nyingine utajionea mashkolo mageni, mchele ni ule ule ila mapishi tofauti na wenzio wanakula bila tabu, na ww ukiwapelekea mapishi yako unayoona ni sahihi watakuona wa ajabu kabisa..
Kuna mtu alinikuta nakunywa zangu uji na mkate akanishangaa kichizi, eti anaona ajabu nikamwambia tatizo umekremisha vitu ulivyovikuta, nikamwambia katika jamii yetu ungekuta watu wanakula hivi nawe ungekuwa unakula mtu akinywa chai na mkate ungemshamgaa "ungekuta nyama inaitwa kisamvu na kisamvu ni nyama pia ungeita hivyo hivyo"..
Utatuzi wa suala lako mkuu, jitahidi uingie jikoni umpikie kama mara 2 mara 3 hiv ataona utofauti ama mueleze ukweli japo hii si njia nzuri saana kibinadamu, we ingia jikoni pika.. Km una nafasi shiriki katika mlo wenu wa siku kuanzia kuchagua mnakula nini mpaka upishi wake.. Mie sijui kwanini wanaume wenzangu wengi hawaprndi kushiriki hili jambo.
Mmh. Kwani wewe uliangalia vigezo gani mpaka ukamuweka ndani?Ajui kupika ngumu kumeza... Ndio madhara ya kulikimbia jiko.
Nimechoka mapishi yakeItakuwa aiseee.
Wee nicheke tuHahah!!
Ndevu zipi?Mvumilie tu..labda ndivyo mapishi ya kwao hua ivyo..utayazoea tu kama ulivyozoea ya mkeo
Vipi anajua kukunyoa ndevu vizuri lakini?
Basi mwache.Nimechoka mapishi yake
[emoji23][emoji23]Ajui kupika kwa ssbabu.
Si unaona masotojo hayo ya mke wanguHuyo atakua anataka kumrudia mkewe hana lolote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MtabiriItakuwa hivyo aisee.
Unacheka nini mkuu? [emoji23] [emoji23]Ahahaaa
Ngumu kwangu kwa kweli mkuuNdio na inatakiwa tuvumiliane pia.