Hii kasheshe kubwa

Hii kasheshe kubwa

Na wengi huwa wanaathiriwa na hiyo hali ya kufanyiwa jambo na wasaidizi wa ndani.

Umeonaee. Kama hajamchoka na bado anamuhitaji nadhani sio mbaya akampa nafasi ya kumfundisha au kumtafutia wa kumfundisha namna ya kupika chakula chenye muonekano wa kueleweka na kilichoungwa vyema pia
U seem to be good kwenye upishi hajar,wa ubavu wako atakuwa anafaidi mapishi yako..

Mwanamke atafute atamtu amlipe amfundishe
 
Ni kweli si kila mwanamke anajua kupika,ila kuna raha yake kama mume unarudi nyumbani unakuta umepikiwa makwasukwasu kama hayo,ntachoka tu
Tuko pamoja sana kamanda wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi mwenyewe toka niko nyumbani nimejifunza kupika naweza kupika,nadhani mwanamke huyo maybe ni wale ambao toka wadogo wao kupikiwa,kufuliwa na mfanyakazi tu.

Kweli still hapo anaweza akajifunza akawa vizuri.
Mwanamke mapishi bhana asikudanganye mtu.
 
Na wengi huwa wanaathiriwa na hiyo hali ya kufanyiwa jambo na wasaidizi wa ndani.

Umeonaee. Kama hajamchoka na bado anamuhitaji nadhani sio mbaya akampa nafasi ya kumfundisha au kumtafutia wa kumfundisha namna ya kupika chakula chenye muonekano wa kueleweka na kilichoungwa vyema pia
Wiki mbili zilizopita chai ya maziwa kaiunga na ndimu.
 
Sijawai kuona mihogo au kisamvu kikiungwa na nyanya... Tangu nizaliwe hivi sasa najonea viroja kwa huyu demu wangu mpya juzi kanilisha majani ya kunde chukuchuku yalioungwa na kitunguu na chmvi tu, jana kapika mihogo kaiunga na nyanya bila nazi akaipondaponda Sijawai kwa kweli kula hivyo nafanya mpango nimrudie mke wangu mpendwa niliozowea mapishi yake matamu
Tafta house girl au mfundishe mwanamke ni kama mtoto utakavyomfunza ndivyo mtakavyoishi ila kufukuza mwanamke kwasababu ya chakula utakuwa umekosea sana.
 
Samaki mkunje bado mbichi mkuu
Mwanamke ni kama mtoto hata akiwa na miaka 50 unamkunja anafata maelekezo mwanamke ni kama gari unaendesha unakotaka wewe dereva sasa kazi kwako unaingiza korongoni au vyovyote
 
Tafta house girl au mfundishe mwanamke ni kama mtoto utakavyomfunza ndivyo mtakavyoishi ila kufukuza mwanamke kwasababu ya chakula utakuwa umekosea sana.
impongo: ngumu mkuu
 
Bora asijue kupikaa jikoni... Sasa mchepuko alafu Gogooo kitandani si Kupoteza muda hukoo bora ukomae na wife wako...!!
 
Back
Top Bottom