Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Jamaa kamchoka mke wakeEwaaaa. Huu ndio ukweli rafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kamchoka mke wakeEwaaaa. Huu ndio ukweli rafiki.
Itakuwa aiseee.Jamaa kamchoka mke wake
Hahah!!Itakuwa aiseee.
Huyo atakua anataka kumrudia mkewe hana loloteKwani ule ni uchafu Mkuu. Nadhani ni namna alivyokoroga koroga sababu lait ungepata mpishi huo muogo wala usingekuwa na muonekano huo uliouweka hapo.
Hivyo hakuna kitu cha kuliwa halafu kikaitwa uchafu Mkuu.
Ni kweli Hajar,tunaishi kwa mapungufu yetu!Sema wewe Sabosabo. Hakuna aliyezaliwa anajua na hakuna mkamilifu pia.
Itakuwa hivyo aisee.Huyo atakua anataka kumrudia mkewe hana lolote
Ndio na inatakiwa tuvumiliane pia.Ni kweli Hajar,tunaishi kwa mapungufu yetu!
Ni kweli kabisa,vip lakini mzima?Ndio na inatakiwa tuvumiliane pia.
Niko poa Sabosabo. Sijui wewe?Ni kweli kabisa,vip lakini mzima?
Mi mzima pia,Tunamshukuru Mungu!Niko poa Sabosabo. Sijui wewe?
Hahaaa. Lol.Kweli mzee,Me ningekuwa naishia kula nje,mke apike chakula kizuri ..msosi ukiwa mzuri utafurahia hayo mapenzi.
Sawa Sabosabo tupo bana.Mi mzima pia,Tunamshukuru Mungu!
Ni kweli si kila mwanamke anajua kupika,ila kuna raha yake kama mume unarudi nyumbani unakuta umepikiwa makwasukwasu kama hayo,ntachoka tuHahaaa. Lol.
Ila rafiki si kila mwanamke anajua kupika ujue
Ila sio mbaya akatafutiwa darasa la kujifunza kupika sababu sidhani kama huyo mdada anapenda kupika hayo makwasu kwasu.Ni kweli si kila mwanamke anajua kupika,ila kuna raha yake kama mume unarudi nyumbani unakuta umepikiwa makwasukwasu kama hayo,ntachoka tu
Hatari sana mkuuDuuh! Aiseeee.