Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
- #161
Siwezi kula makwasukwasu mimi mkuuImeniuma sana kutokujua kupika una muacha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kula makwasukwasu mimi mkuuImeniuma sana kutokujua kupika una muacha?
Mie nimezaliwa ocean road nimekulia temeke. Baba mrangi. Mama mzaramoHuyo mwanamke umemtoa sehemu gani na mkoa upi?
WEWE NI WA PWANI???
Wee mbona umekomalia impongo: kila mtu ana uamuzi wake mwingine anapenda mwanamke awe anajua kupika au mjuzi kwenye bedUmekosea sana kumfukuza
Habari ndio hiyoMmh. Haya Mkuu
[emoji23] [emoji23]Zinazoota kidevuni
Soma uzi vizuri mkuu,,tatizo sio pesa ausi ndio hela ya matumizi uliyomuachia inatosha vitu hivyo mkuu ???