Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

Makamu alitoa Salam za rambi rambi naamini aliwakilisha vyema
Au ulitaka rambi rambi individually?
 
Yaani kweli unataka kupewa msaada halafu unataka ujipangie!? Kweli?
 
Kwahiyo muhimu zaidi hapa ni kuendana na mitazamo yake anayoitaka ndipo atakupa fedha zake na sio kwamba anatoa tu msaada kwa sababu ya upendo aliyonao au kwa sababu huyo anayemsaidia ni muhitaji sana wa msaada kuliko wengine kama nilivyokuwa nafikiri mimi?
 
Wewe ni mpumba . vu huna lolote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Inabidi tuendelee na msimamo wetu, kwani hawa jamaa sio wazuri kabisa. Hapo watakuwa wananyemelea Helium, na mama nae amekamia kuwa ichimbwe tu!!
 
Yaani kweli unataka kupewa msaada halafu unataka ujipangie!? Kweli?
Lakini mie naona si mbaya hivyo kama ingewezekana kuchagua ni kipi unachohitaji usaidiwe au usaidiwe kwa namna gani, kwa sababu huyo mtoaji hatoi tu huo tunaoita msaada kwa sababu tu wewe unashida au unahuitaji bali ana malengo yake anataka yatekelezeke ndipo atoe atoe hizo fedha kukupa bila ya hivyo hata kama unashida na uhitaji kiasi gani hatoi fedha zake. Kwahiyo utaona kwa aina ya huu msaada wenyewe ulivyo si ajabu kwa anayesaidiwa kuchagua huo msaada uelekwezwe wapi.
 
Asiye na aibu ni asiyeukubali ukweli .
 
Huna akili
 
Yaani kweli unataka kupewa msaada halafu unataka ujipangie!? Kweli?
Kujipendekeza kunakoitwa uzalendo hakuachi mtu salama. Bado kiwewe cha mwendazake. Mara hawajatoa rambirambi. Kuna rambirambi kubwa zaidi ya msaada? Hata aliyeleta vifuu vya nazi tunywee uji ametufaa. Vitendo kuliko maneno tu ya rambirambi. Hata na maneno yalitangulia. Tunatafuta nongwa bure. Tutengeneze marafiki, maadui wajiunde wenyewe!

Tusisahau kuwa balozi wa sasa wa Marekani ni daktari wa binadamu. Siku si nyingi alikuwa tayari kutumia muda wake kusaidia katika vita dhidi ya uviko-19. Hajaacha kujitoa na kusaidia ikibidi. Daktari wa siku nyingi hapa nchini. Eneo lake hasa la kujidai ni hapo.

Tumeamua kwenda na dunia kuhusu uviko-19. Tume inaundwa. Hakuna kasma ya hilo suala. Kajitokeza mtu kupiga jeki. Tukatae? Msaada haukataliwi. Masharti mabaya yakataliwe. Hiyo ndio sifa yetu kuu ya kujua vigezo na masharti ya hovyo. Tunakataa.

Vile Prof. Beno Ndullo na Mo Dewji kutoka Tz kuwa washauri wa Rais Ramaphosa wa RSA ni kwa sababu Tz ni dona kantri? Hiiiiii!!!!!!
 
Pesa ya msaada wa corona haina impact kwetu, wakishakupa wanakwambia ununue chanjo kwao na mahitaji mengine sasa itaongeza mzunguko gani wakati wanaichukua tena?

Kitakachoonekana ni kwamba wamekusaidia lakini ni njia ya kulet vitu ambavyo ni malengo yao.

Kama wanatupenda walete pesa tuafanyie mahitajibyetu myhimu kama afya miundo mbinu na viwanda.
 
Ila misaada ya vyandarua itarejea tena.
 
Sio urafiki wa korona peke yake. Na shughuli za korona zinahusisha watu wengi watakaolipwa, sio ununuzi wa chanjo peke yake. Na hata chanjo kuna wakuzisafirisha kwenda mikoani, wakuchanja watu, etc watakaolipwa.
 
Interest zinapofanana ndiyo misaada inakuwepo. Kwa mfano sisi tunadhibiti majambazi yaliyoko Msumbiji. Hapa ni vita dhidi ya Alkaeda ya Afrika. Marekani watatupa silaha. Kuna mbaya gani hapo?
 
Mleta mada tuliza MANANILIU WEWE, TULIZA MANANILIU HAYOO. TULIZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…