Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Tena walicheleweshwa Sana ,US babay fanya haraka ikibidi nunua Tzn kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuko tayari kuwakabidhi mabeberu rasilimali zetuu. Mabeberu waje kwa adabu hapa kwetuu.Ujinga wetu na kuaminiswa na baadhi kwamba kuna kuna mabeberu na tunatakiwa tuwe wana ‘Umajumuhi wa Kiafrika’ bila kuangalia hali halisi ya dunia ya kisasa ni shida
Huyo Mwendazake alitumia mbinu za zamani na kutengeneza maadui wa kufikirika tu ( Mabeberu) ili apate umaarufu wa kisiasa na yake mengine yaende kwa mkono wa chuma
Dunia yetu toka zama ni ya ushindani na ukiwa weak utapelekwa tu kuanzia ngazi ya mtu mmoja mpaka Taifa na kama tunataka tuwaepuke hawa so called mabeberu ni mkakati wa muda mrefu sana na labda hata uwe wa siri ( mpaka tuwe imara kusimamia kuanzia mifumo yetu ya siasa, uchumi, tamaduni nk )
Unamchukia beberu hata kusoma mikataba haujui, na bado unaona ufahari kula pesa za umma kama madawa,madawati , mradi wa maji, umeme , bila kusahau unapanda vipandio vyao, unatumia simu zao na unajinasibisha hata kutumia lugha yao achia mbali ujinga wetu wa kujaza watu wa kabila, ndugu na dini tunazotoka eti ndo tunaweza pambana na Beberu na tunataka mpaka tumpangie nini cha kutupa kama msaada
Tuamke wa Afrika tunatakiwa mikakati imara na tuache ubinafsi ndo tunaweza pambana na hawa sijui mabeberu (USA na nchi za magharibi) sio ‘one man show’ ili kupata umaarufu wa kisiasa na kuendeleza ukandamizaji wa raia na kuwa na uhakika wa kula mali zao (wananchi)
Sorry nimejikita zaidi kwenye term ‘Beberu’ kama ulivyo ainisha hayo ya misaada ya korona na sijui SGR wataona wao inavyofaa
Unaandika kwa kutumia data unazokusanya vijiwe vya kahawa vya mashina ya CCM! Huo ni mshangao, fuatilia kwa makini mambo kabla ya kuandikaKuna nchi zina vita na zenye majanga mbalimbali watu wanakufa kwa njaa ila Marekani katuona sisi ndio wahitaji zaidi wa msaada wake ni mahaba kiasi gani kutoka kwa wapendwa wetu Wamarekani.
Ndio tuseme wanaochangia humu ni ccm na chadema tu?Unaandika kwa kutumia data unazokusanya vijiwe vya kahawa vya mashina ya CCM! Huo ni mshangao, fuatilia kwa makini mambo kabla ya kuandika
Nalo ni wazo zuri. Shida ile ni hela ya walipa kodi. Wakusanye Marekani hela, mbuzi waliwe TanzaniaMimi nashauri, watupe tu pesa, kila mwananchi na zake, tukale mbuzi choma na mademu zetu
Hivi mkuu KWA akili ya kawaida ,kwamba USA walikua wanaogopa mwendazake, KWA lipi na sababu zipi? Tulia mkuu, USA sio taifa la kushinda hasa na nchi za kiafrika Kama yetu ,wanauwezo wa KUFANYA lolote , Bila shida, na ukachutama,mwendazake uwezo wake ukua tu kuonyesha makucha KWA wale aliowaita wanyonge Basi ,Sio USA Ilikua swala la mda tu, KWA kauli zake kuita watu mabeberuKama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.
Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Mtazamo wako ni tofauti sana na hali halisi, hakuna taifa au mtu binafsi anahangaika kujileta kusaidia mtu au taifa jingine, hawana muda hata wa kujua kama tunahitaji msaada. Misaada huombwa, na unapoona mtu au Taifa wanatoa msaada fahamu inakua wamekubali ombi lilifanywa na taifa hitajiKama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.
Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Hizi scenario wakati mwingine hazipasw hata uzitoe public kbs, hii tabia ya kutaka kushindana na mtu ambae anakupa misaada since day one tang Uhuru haina mashiko. Budget yetu bado inawategemea haohao, madawa, ujenz wa miundo mbinu, elimu, afya, almost kila kitu kweny maendeleo. Walishatuzidi sana na kamwe hatuwez wafikia wale wako kweny dunia nyingine kwa kila kitu. Ushauri... Ni kukaa kwa kutulia tupange mashambulizi tusonge mbele.Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.
Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Chukua huu mfano. Mwenzako ana familia ya watoto 200 wewe una mtoto mmoja. Ila mwenzako ana bilioni 10 dollar kwenye account wewe una tsh 20,000.Wewe pamoja na mleta UZI ninakubaliana na nyie but nahisi hujamuelewa mleta UZI though you have a point. Hakatai missada kutoka Marekani, ana question aina ya msaada wanaotaka kupatia, anauliza, why kwenye corona ilihali athali za Corona kwetu sio kubwa kama kwao? Na why now baada ya kifo cha Magufuli? Ndio akapendekeza kama ni msaada, basi upelekwe kwenye SGR kama ambavyo na wewe unapendekeza, is like you guys mnaongea lugha 1 but with different interest
Kwani huelewi maana ya kuhodhi. Kuhodhi ni kubania mali wakati huna matumizi nayo. Hizo ni extra na hawazitumii wao ila wanazo. Wanawalalamikia pia kwa kuhodhi material za kutengeneza hizo chanjo, hawauzi nje sasa.Mkuu, sidhani kama wana chanjo hadi extra kama unavyo sema, hebu pitia hapa Marekani ambayo imekosolewa kwa kuhodhi chanjo itagawa dozi Milioni 60 za AstraZeneca na nchi nyingine, hu uzi upo humu humu jukwaani.
Vipi kuhusu ARVs wasilete?Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.
Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
🤣🤣🤣🤣Mimi nashauri, watupe tu pesa, kila mwananchi na zake, tukale mbuzi choma na mademu zetu
Walete hayo mafaranga.Marekani akikusaidia sio lazima awe amekuona masikini kuliko wengine. Anatoa msaada sana kwa Israel, Kenya, Misri n.k. ambako hali sio mbaya. Kimsingi husaidia wale wanaoendana na mtazamo wao duniani. Mtazamo wao hauna ubaya kwetu.
Watu mnalia mitaani hakuna fedha. Mnadhani zitakujaje huko bila FDI na misaada kama hii ya WB, IMF na Marekani? Kwani wametupa CONDITIONS mbaya ili tupate hiyo misaada?
Msaada wowote wa fedha ambao conditions zake zinakubalika kwetu ni vizuri sana kuupokea.
Maisha kwanza. Kwa sasa kipaumbele ni kuokoa maisha, na kupambana na korona. Pia wameanza baada ya Magufuli kufariki kwani Magufuli alishatangaza hakuna korona Tanzania. Sasa watakupa msaada wa kupambana na tatizo hewa?Wewe pamoja na mleta UZI ninakubaliana na nyie but nahisi hujamuelewa mleta UZI though you have a point. Hakatai missada kutoka Marekani, ana question aina ya msaada wanaotaka kupatia, anauliza, why kwenye corona ilihali athali za Corona kwetu sio kubwa kama kwao? Na why now baada ya kifo cha Magufuli? Ndio akapendekeza kama ni msaada, basi upelekwe kwenye SGR kama ambavyo na wewe unapendekeza, is like you guys mnaongea lugha 1 but with different interest
Huna point ya MsingiKama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia ya kutupa msaada watupe pesa zitusaidie kumalizia SGR na mradi wa Stigler's George.
Wakapambane na korona huko kwao maana wao tatizo Ni kubwa kuliko kwetu! Hawa mabeberu hawana aibu.
Anatoa kidogo ila anareceive kikubwaHuko kote anayo maslahi makubwa zaidi. Hatoi tu msaada kumfurahisha mtu au kumfaidisha mpokeaji bila yeye kufaidika zaidi.
Wewe ni mfano wa wasomi wajinga wanaodhani Marekani inawaonea wivu Tanzania.Ninakubaliana na wewe kuhusu wao ndio kuwa wachaguzi wa wapi panapohitaji msaada.
Haya makosa yamefanyika miaka mingi ya hawa watu kuleta vimisaada vyao visivyolenga kutatua matatizo yetu, bali kuwanufaisha wao zaidi.
Umesahau ule msaada wa elimu mliomshambulia Zzk mkataka hata kumuua? Ulitoka USAKama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.