Tanzania bila Magufuli inawezekana, Tanzania bila Marekani na wengine walioitwa na jiwe kuwa ni mabeberu haiwezekani,na maisha bila wao hayapo.
Kila kitu kilichotumiwa na Jiwe kuwaponda kuanzia kipaza sauti alichokuwa anakitumia kilitengenezwa na wao, vyombo vyote vilivyokuwa vinatumika kurusha maneno ya jiwe kuwaponda vimetengenezwa na wao.
Magari,ndege,barabara zinazotengenezwa, madawa na vifaa vyote vilivyotumika kunusuru uhai wa jiwe vimetengenezwa na wao, kasolo mwili na mdomo unaotumika kuwananga ndio umeumbwa na Mungu.