Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

Kama wana nia njema watusaidie kulingana na vipaumbele vyetu. Reli ya standard gauge na mradi wa kufua umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere (Stiglers George). Kama hawataki na sisi hatutaki kupangiwa!
 
Tanzania inaitaji marekani kulikomarekani inavyoitaji Tanzaniaziwewe
Wewe 9
Tanzania inaitaji marekani kulikomarekani inavyoitaji Tanzania mbuziwewe
Wewe ndio unaihitaji marekani. Tanzania tunamhitaji Mungu atupaye uhai na mvua. Mungu ndiye aliyetuponya na corona ambayo bado inawatesa marekani mpaka leo!!
 
Kwa uandishi wa mleta mada, ilikiwa vigumu sana kwake kutambua waliotoa salamu za pole.

Asamehewe.
Sijamsikia Biden binafsi! Kwa heshima ya rais inategemewa rais atoe rambirambi binafsi na kwa niaba ya nchi yake! Hivi angefariki mkuu wa nchi ya magharibi unadhani balozi tu ndiye angetoa tamko la rambirambi?
 
Usipopambana na corona hio SGR atapanda nani kama wote mkifa kwa corona.Afya kwanza
Hatufi Mungu ametuponya! Ndio maana upo mzima! Marekani wanakufa kwa mamia kila siku, ungekuwa marekani huenda leo usingekuwepo!
 
Tanzania bila Marekani inawezekana ila Tanzania bila Mungu haiwezekani! Namshukuru Mungu muda wote huwa a atapanda viongozi wacha Mungu wanaojua kumtanguliza Mungu!
 
Mbona huelew alichokiandika mtoa mada! Umeelewaa ni misaada ipi au umetoka kukojoa tu huko chooni then unakuja kujamba jf!?
 
Kuna nchi zina vita na zenye majanga mbalimbali watu wanakufa kwa njaa ila Marekani katuona sisi ndio wahitaji zaidi wa msaada wake ni mahaba kiasi gani kutoka kwa wapendwa wetu Wamarekani.
Wajinga ni wengi humu,wao wanafikiri mataifa ya ulaya yanatupenda sana,marekani kama anataka kukusaidia,atufutie madeni tuu,sisi corona tulishaipiga bao,
 
Nachelea kusema...katika waafrica kumi, saba ni nyani watatu ndio binadam wanaojitambua.
Hivyo bas wewe pia ni mmoja kati ya wale 7 ambao ni nyani..pole sana nyani.
Unasafar ndefu sana kwenye kujikomboa kifikra
 
Hujaelewa mantiki ya mjhadala! Suala la msingi ni kuwa hatutaki watupangie!! Hatujasema hatuhitajiani la. Ila kuhitajiana si kibali cha kutupangia! We are the sovereign state! We are equal! Wasitushinikize chochote kuhusu corona!! Tutapambana nayo kulingana na mazingira yetu kwa kumtanguliza Mungu.
 
Marekani ina raia karibu milioni 350.
Wamechanja chanjo ya corona raia milioni 200,
Kwa kifupi wanaelekea kuutokomeza huo ugonjwa,,
Israel nao wamechanja karibu raia wote milioni 10,nao wimbi la huu ugonjwa liko undercontrol,,
Chanjo zinasaidia
 
Hatufi Mungu ametuponya! Ndio maana upo mzima! Marekani wanakufa kwa mamia kila siku, ungekuwa marekani huenda leo usingekuwepo!
Idadi ya USA ni mara 4 ya Tza hivyo hao mamia ni sawa na makumi kwetu tembelea hospital
 
Nachelea kusema...katika waafrica kumi, saba ni nyani watatu ndio binadam wanaojitambua.
Hivyo bas wewe pia ni mmoja kati ya wale 7 ambao ni nyani..pole sana nyani.
Unasafar ndefu sana kwenye kujikomboa kifikra
Hata hicho kifaa ulichokitumia kuniita nyani kimetengenezwa na mabeberu ulichokiweza ni kuniita nyani.
 
Tanzania bila Marekani inawezekana ila Tanzania bila Mungu haiwezekani! Namshukuru Mungu muda wote huwa a atapanda viongozi wacha Mungu wanaojua kumtanguliza Mungu!
Mungu hatangulizwi kwa maneno, huwezi ukasema kuwa unamtanguliza Mungu huku unatoa amri watu wapigwe risasi, watu wauawe, watu watekwe labda kama ni mungu shetani hapo ni sawa, tunahitaji kiongozi anaemtanguliza Mungu na matendo yake yafanane na matendo ya ki Mungu hapo ndipo Tanzania haiwezekani bila Mungu.
 
Matendo ya ki Mungu ndio yepi hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…