Hii kasumba ya kupunguza miaka ili uonekane mdogo inasaidia nini?

Hii kasumba ya kupunguza miaka ili uonekane mdogo inasaidia nini?

Tutawatafuna vip warembo Kama nyie msiopenda wababa
Tunajifanya watoto wa chuo pale IFM ili tuwale warembo kama wewe
Halafu huwa nakuona TikTok ukijinengua na unashandania soko na akina restituta.

Hii dunia hapana aise.
 
Halafu huwa nakuona TikTok ukijinengua na unashandania soko na akina restituta.

Hii dunia hapana aise.
Tik tok mitandao ya warembo Kama nyie
Me mtandao wangu Jamii forums
We kama unanengua ni wewe
Me ni kidume natokea Kanda ya ziwa mrembo,
 
Tik tok mitandao ya warembo Kama nyie
Me mtandao wangu Jamii forums
We kama unanengua ni wewe
Me ni kidume natokea Kanda ya ziwa mrembo,

Mimi ndiye kidume, wewe ulizaliwa wa kiume lakini umeshabolewa hivyo tunvyozungumza sifa uanaume huna.
 
Kuna demu mwaka 2021 alikuwa na miaka 22, usiku huu nashañgaa ananiambia ana 21!

Nimemchana tukabishana sana ikabidi nimpe moto tu asinzie
 
Dini haituhusu me kuongeza mke au kuwa na mchepuko
Tafadhali mrembo sikuhitaji
Nasikia uligombana na bwana kisa kila siku kumsifia Granit Shaka. Ila nyie wanawake wa kiafrika na wazungu...

Sema siyo mbaya bongo zozo anaweza kukuona katika pita pita zake, Cha msingi jipambe vizuri.
 
Back
Top Bottom