Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 16,680 Reaction score 31,804 Nov 1, 2026 #1 Uzi uandike wewe.. Wao wajifanye wanajua kusudi la uzi wako mpaka wabadili title. Wao waone nyuzi yako zinafanana na nyuzi fulani then waunge. Hao hao mods wapite na nyuzi yako bila taarrifa. Hao hao wa edit uzi wako u fit vile wao wanaona ina sound vyema. Sasa, uhuru wa sisi wanajukwaa uko wapi?
Uzi uandike wewe.. Wao wajifanye wanajua kusudi la uzi wako mpaka wabadili title. Wao waone nyuzi yako zinafanana na nyuzi fulani then waunge. Hao hao mods wapite na nyuzi yako bila taarrifa. Hao hao wa edit uzi wako u fit vile wao wanaona ina sound vyema. Sasa, uhuru wa sisi wanajukwaa uko wapi?