Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Ukweli hii kitu sijui kama kuna mtu alishawahi kuongelea...
Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?
Naomba nieleweke kuna mada serious na zile za kufanya matani, au kejeli..
Binafsi na mimi bila kujua nimejikuta ni kiiadapt ili tu watu wafurahi, ila mwisho wa siku I just get that dopamine hit...
Unakuta labda ni mada kubwa kabisa ambayo labda tungepunguza utani, watu wangeichukulia soo serious.
Alafu hii sio bongo tu, imetapakaa kwa wamatumbi woote duniani... Yaani we lack knowledge ila sasa kuna ule ujuaji wa kishamba tunao.. Yaani mtu hajui hata ins and outs za issue husika ila a navyo comment sasa..!
Je ni nini haswa hua kina wapa watu motives za kurusha faul words kwa mada za muhimu?
Ukiangalia mada za nyuma huko JF ya enzi hizo unaona kabisa hakukuwa na utani utani sana.. People did respect each other. Hata mwanamke akipost kitu kilikuwa kinapokelewa vizuri pia... Ila leo sasa mtu ana post vizuri tu limtu lina shusha memes kwa chini..
Wengine unakuta ndo wanachase reaction yaani apate likes... Hivi hizo zinageuzwa kuwa hela? Tuache hii tabia guys.. Najua kuna vitoto humu ila kwa wale wakubwa hebu tuwe example... Unakuta jitu joined 2011 na lenyewe kinapost memes! Like what the hell?
We're so distracted that focusing is considered a chore nowadays...