Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Wengine mitandaoni humu tunakuja kupunguza siteresi. Sasa yeye anataka kutuongezea siteresi na huku. We ulisikia wapi? 😂😂😂
Unajua kwa nini?

Kwa sababu wewe una ADHD hujui tactics za stress management.. Learn to focus your wondering mind, matani ya weke sehemu yake
 
Kajamaa kapo seriazi na jf kama ya baba yake
Wacha kubweka ewe mmatumbi usiye na mbele wala nyuma. You need to be a good example, mada iko very clear Nime weka difference ya mada za kufanya matani ila umeshindwa kuweka mstari...

It's because you are a danda head🤕
 
Nakujibu once, tuliona I'd zako ulivyokua una mwaga matusi humu jukwaani mpaka ukapigwa ban na kuungwa I'd ulizokua ukibabaisha nazo members ,hivyo taulo unayofutia uso , ulishafutia nayo t,,ko.
 
Ukweli hii kitu sijui kama kuna mtu alishawahi kuongelea...

Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Naomba nieleweke kuna mada serious na zile za kufanya matani, au kejeli..

Binafsi na mimi bila kujua nimejikuta ni kiiadapt ili tu watu wafurahi, ila mwisho wa siku I just get that dopamine hit...

Unakuta labda ni mada kubwa kabisa ambayo labda tungepunguza utani, watu wangeichukulia soo serious.

Alafu hii sio bongo tu, imetapakaa kwa wamatumbi woote duniani... Yaani we lack knowledge ila sasa kuna ule ujuaji wa kishamba tunao.. Yaani mtu hajui hata ins and outs za issue husika ila a navyo comment sasa..!

Je ni nini haswa hua kina wapa watu motives za kurusha faul words kwa mada za muhimu?

Ukiangalia mada za nyuma huko JF ya enzi hizo unaona kabisa hakukuwa na utani utani sana.. People did respect each other. Hata mwanamke akipost kitu kilikuwa kinapokelewa vizuri pia... Ila leo sasa mtu ana post vizuri tu limtu lina shusha memes kwa chini..

Wengine unakuta ndo wanachase reaction yaani apate likes... Hivi hizo zinageuzwa kuwa hela? Tuache hii tabia guys.. Najua kuna vitoto humu ila kwa wale wakubwa hebu tuwe example... Unakuta jitu joined 2011 na lenyewe kinapost memes! Like what the hell?

We're so distracted that focusing is considered a chore nowadays...
Bipolar.
 
Unajua kwa nini?

Kwa sababu wewe una ADHD hujui tactics za stress management.. Learn to focus your wondering mind, matani ya weke sehemu yake
Wandaringi maindi yangu huwa inafokasi balaa nikikuta watu mlio siriazi mahali pasipotakiwa kama wewe hivi. Huwa sikawii kushusha memes za kutosha na kukaa pembeni nikifurahia jinsi mnavyokuwa triggered kirahisi kukasirika na hata kuanza kuporomosha matusi 😂😂😂

IMG-20260806-WA0016.jpg
 
View attachment 3645473
Unamental challenges sio bure
 
Back
Top Bottom