Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Shhhh
Gastadialo.
Testas Dicazo.
Gastadialo.
Testas Dicazo.
Usiniambie na mie nimoNa mara nyingi wengi wanapenda ujinga ni wale wale, they all die fools
Relax. Hii forum siyo ya ukoo wenu mpaka upangie watu cha kupost humu. Tunapost cho chote na hakuna kitu utafanya! 😂😂😂Unamental challenges sio bure
Bora useme wewe labda ataelewaEbo!
Gunner unapenda kucontrol dunia, yesu mwenyewe alishindwa…. Mambo mengine let them slide.
Wakati we yanakukasirisha mimi i wonder wanatoa wapi hivi vipicha ili na mi niwe navitumia, hadi kuna siku niliuliza kwenye uzi.
Elewa kitu … tunatofautiana sana, na hiyo ndio raha ya community. Kikawaida binadamu huchoka kutumia akili, na ndio hapo mediocre yanapochukua nafasi.
Ukiweka mada focus na wale wanaoijadili. Zamani kulikuwa na mtu lazima aweke picha, sijui yuko wapi yule jamaa.
Kumbe ndo yule Gunner mwenye Kiswanglish sana alishabadili ID? Ile ya Gunner ilipata mushkeli gani? Matusi sana na kujifanya anajua kila kitu ama? Sikujua. No surprises here, then 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️Ebo!
Gunner unapenda kucontrol dunia, yesu mwenyewe alishindwa…. Mambo mengine let them slide.
Wakati we yanakukasirisha mimi i wonder wanatoa wapi hivi vipicha ili na mi niwe navitumia, hadi kuna siku niliuliza kwenye uzi.
Elewa kitu … tunatofautiana sana, na hiyo ndio raha ya community. Kikawaida binadamu huchoka kutumia akili, na ndio hapo mediocre yanapochukua nafasi.
Ukiweka mada focus na wale wanaoijadili. Zamani kulikuwa na mtu lazima aweke picha, sijui yuko wapi yule jamaa.
Njoo inbox uweke namba yako simuKituko 😂😂: Mtu aliniambia, “Usijali, pesa itakuja.” Mpaka leo nimekuwa nikisubiri… sijui imepotea njia au imepewa direction mbaya! 😂
Fanya Kweli Simba Hata Ya Kulambaa Sina Maisha AseeeNjoo inbox uweke namba yako simu
Na majina yako ya ubatizo wa makanisa yanayojielewa.
Pm Locked 🔒Njoo inbox uweke namba yako simu
Na majina yako ya ubatizo wa makanisa yanayojielewa.
Nimemnukuu mwenye uzi wake mkuu.Kwa nini iwe 2011 mkuu? Tumezeeka sana kiasi hicho?
Fuata maelekezo.Fanya Kweli Simba Hata Ya Kulambaa Sina Maisha Aseee
Anaelewaga huyu msukuma? 🤣🙌🏻Bora useme wewe labda ataelewa
Ndiye.Kumbe ndo yule Gunner mwenye Kiswanglish sana alishabadili ID? Ile ya Gunner ilipata mushkeli gani? Matusi sana na kujifanya anajua kila kitu ama? Sikujua. No surprises here, then 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
Mini wapimzishe..yani unarudia yale yale yanayopigwa marufuku
Uchunguzi dhidi yake uanze mara moja😁😁Nakujibu once, tuliona I'd zako ulivyokua una mwaga matusi humu jukwaani mpaka ukapigwa ban na kuungwa I'd ulizokua ukibabaisha nazo members ,hivyo taulo unayofutia uso , ulishafutia nayo t,,ko.
Kijana acha ujeuri. Njoo ofisi ya Prime Minister upate chochote kituKituko 😂😂: Jana nilisema leo nitaanza maisha mapya… Leo nimeamka nikagundua maisha yenyewe bado hayajaanza kunijibu! 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakujibu once, tuliona I'd zako ulivyokua una mwaga matusi humu jukwaani mpaka ukapigwa ban na kuungwa I'd ulizokua ukibabaisha nazo members ,hivyo taulo unayofutia uso , ulishafutia nayo t,,ko.