Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Nakumbuka zamani wakati wa LeMutuz RIP, walikuwa wanashindana nani anawachangiaji wengi na reactions kwenye mada zao humu, hapo ni kabla hata monetization haijaanza youtube wala tiktok
 
Nakumbuka zamani wakati wa LeMutuz RIP, walikuwa wanashindana nani anawachangiaji wengi na reactions kwenye mada zao humu, hapo ni kabla hata monetization haijaanza youtube wala tiktok
Waliopewa nini kwa kuwa na likes nyingi?
 
Sio kiasi for good, no more playing my g Nilikwambia am version 2.O now hata binti kiziwi anajua
Nimegundua kama unataka kubadilika badilika kwa ajili yako binafsi sio kutaka watu waone

Watu wakisha set mindset zao kicwani hata ufanye nini hueleweki period!
 
Nimegundua kama unataka kubadilika badilika kwa ajili yako binafsi sio kutaka watu waone

Watu wakisha set mindset zao kicwani hata ufanye nini hueleweki period!
On point..
Wanasema no one knows you but yourself.

Hivi kipind nimekula ban ulipigwa mstari kabisa zile doubts kuhusu mm sio?
 
Lakini nilikuambia kijana mbona haupo. Sawa wewe 😂😂
Ukawa unaniona nina ego 🙌
Ila wewe kama umebadilika aloo bwana apewe sifa ni vile umenikuta situnzi vinyongo
Moyo wangu ni mweupe nimekusamehe bure
Aisee unajua I was going thru a transformation.. So maybe it was part of it. Ukijua ukweli kuna namna unadhani ya kuwa ukweli wako pekee ndo ulio sahihi

You're such a kindred spirit
Thanks
 
Kama ulibadilika kwa maamuzi na kwa muda wako huoni kama it's only fair nao wakibadilika kwa muda wao wakitaka?
Yeah na ndo maana am being a little kind.
Najua where they are coming from
 
Back
Top Bottom