Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Hata ukiwa harsh haitamtisha mtu yoyote humu

Mwisho wa siku najua unajua neno lako sio sheria na uzi wa aina hii yako sio mara ya kwanza kuwepo
I know.... Nia yangu hata kipindi mlio a nakuwa harsh wasn't kutiisha watu

It was to awaken them from slumber.
Hata hivyo najitahidi kutumia the right approach
 
Aisee unajua I was going thru a transformation.. So maybe it was part of it. Ukijua ukweli kuna namna unadhani ya kuwa ukweli wako pekee ndo ulio sahihi

You're such a kindred spirit
Thanks
Sawa kijana mdogo ulijua kunikera aisee 🙌
 
Waliopewa nini kwa kuwa na likes nyingi?
Kipindi hicho hakuna hata tiktok wala youtube monitization ina maanisha walikuwa manabii wa mitandao ya kijamii kwa kuona mbali kuwa kuna wakati itakuja kuwa ni maslahi, na kweli walikimbia JF na kujipata huko duniani kwenye mitandao ya kijamii
 
Wengine ndo tunakesha na Nokia tochi
 
Ndiyo hivyo hivyo tu
Screenshot_20260716-122949_Lite.jpg
 
Back
Top Bottom