Hii simu za mkopo zimeondoa kabisa ile dhana ya "smart-phone" ukichanganya na changamoto ya wajinga kupata confidence na ujinga kuonekana ndiyo njia ya kutoka kimaisha basi imedhihirika ule msemo wa wahenga kuwa Dunia uwanja wa fujo.Ukweli hii kitu sijui kama kuna mtu alishawahi kuongelea...
Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?
Naomba nieleweke kuna mada serious na zile za kufanya matani, au kejeli..
Binafsi na mimi bila kujua nimejikuta ni kiiadapt ili tu watu wafurahi, ila mwisho wa siku I just get that dopamine hit...
Unakuta labda ni mada kubwa kabisa ambayo labda tungepunguza utani, watu wangeichukulia soo serious.
Alafu hii sio bongo tu, imetapakaa kwa wamatumbi woote duniani... Yaani we lack knowledge ila sasa kuna ule ujuaji wa kishamba tunao.. Yaani mtu hajui hata ins and outs za issue husika ila a navyo comment sasa..!
Je ni nini haswa hua kina wapa watu motives za kurusha faul words kwa mada za muhimu?
Ukiangalia mada za nyuma huko JF ya enzi hizo unaona kabisa hakukuwa na utani utani sana.. People did respect each other. Hata mwanamke akipost kitu kilikuwa kinapokelewa vizuri pia... Ila leo sasa mtu ana post vizuri tu limtu lina shusha memes kwa chini..
Wengine unakuta ndo wanachase reaction yaani apate likes... Hivi hizo zinageuzwa kuwa hela? Tuache hii tabia guys.. Najua kuna vitoto humu ila kwa wale wakubwa hebu tuwe example... Unakuta jitu joined 2011 na lenyewe kinapost memes! Like what the hell?
We're so distracted that focusing is considered a chore nowadays...
It's even worse kwa kweliHii simu za mkopo zimeondoa kabisa ile dhana ya "smart-phone" ukichanganya na changamoto ya wajinga kupata confidence na ujinga kuonekana ndiyo njia ya kutoka kimaisha basi imedhihirika ule msemo wa wahenga kuwa Dunia uwanja wa fujo.
Hivi sasa wajinga ndiyo wana'run' Dunia, kwahiyo imekuwa chaos kwa tabaka la wenye weledi. Habari za Dotto magari na Mwijaku zinapata airtime na zinauzika zaidi kuliko hata taarifa za Bwana Mdogo Chegere kuwa associate Prof. na kuwa motivate vijana kupiga kitabu.
Kwa hayo machache nina imani umeshapata taswira ni wapi tunaelekea kama Taifa
Sahihi kabisaIt's even worse kwa kweli
Ndo hawa hawa wanafanya jamii ioze
Wewe nae mvua imekukosesha ugali leo hasira unanitupia mimi?Muone na komwe lake, kitumbo kama papai
Unajifanya mpole na kumbe haufahi..!! 😹😹
Tutolee udikteka wako hapa.
Unatupangia cha ku comment aiboooh..!!
factNimegundua kama unataka kubadilika badilika kwa ajili yako binafsi sio kutaka watu waone
Watu wakisha set mindset zao kicwani hata ufanye nini hueleweki period!
Homie morningfact
Kwani Sikusema Nime badilika baada ya kurudi?
Morning,umeamkaje my dearHomie morning
Unamaanisha nini homeboyAisee na mvua hii kweli? 😂
Wewe uniase mimi? 😹😹Wewe nae mvua imekukosesha ugali leo hasira unanitupia mimi?
Mimi nawaasa watu kama nyie mliovurugwa na kutema shit kila wasaa
Hahahaha, ina bidi mkae kwa kutulia
Ubaya ni kuwa mimi huwa nina ego mbaya sanaaWewe uniase mimi? 😹😹
Maiti inaweza kumuongezea damu mgonjwa kweli?
Gunner tatizo lako kubwa ni kujipa umuhimu humu JF.
Sehemu ambayo watu tunatumia fake ids wewe utake kuwa special really? 😹😹😹
Halafu wewe mbwa unaongoza kwa kupenda attention na mataahira wenzako wengine. Baada ya msako wa kuungiwa I’d ulivyoanza naona wamepoa umebaki wewe..!!
Humu kuna ids zinajichetua sana kupata kiki, kuna muda utachoka utaichukulia JF kawaida na ndio dawa ya ugonjwa wako itakapopatikana..!! 😹
📌📌📌📌📌📌📌😘😘😘😘😘...unajua neno lako sio sheria na uzi wa aina hii yako sio mara ya kwanza kuwepo