Sasa hauoni kama haupo fair, wewe umebadilika wakati wenzako hawajabadlika. Wape muda na wao waweze kubadlika.Kwani Sikusema Nime badilika baada ya kurudi?
Sasa hauoni kama haupo fair, wewe umebadilika wakati wenzako hawajabadlika. Wape muda na wao waweze kubadlika.Kwani Sikusema Nime badilika baada ya kurudi?
Can you imagine hadi kwenye huu uzi wanaweka tu, 😂.. Anyways I wasn't that serious too, the ban changed meEbo!
Gunner unapenda kucontrol dunia, yesu mwenyewe alishindwa…. Mambo mengine let them slide.
Wakati we yanakukasirisha mimi i wonder wanatoa wapi hivi vipicha ili na mi niwe navitumia, hadi kuna siku niliuliza kwenye uzi.
Elewa kitu … tunatofautiana sana, na hiyo ndio raha ya community. Kikawaida binadamu huchoka kutumia akili, na ndio hapo mediocre na matani yanapochukua nafasi.
Ukiweka mada focus na wale wanaoijadili. Zamani kulikuwa na mtu lazima aweke picha, sijui yuko wapi yule jamaa.
😂😂😂😂💔Jamani one ni hela zenu za michango jamaa a nakunywa mnyweshoo
Yaan hii post ndiyo naiona saivUkiwa na maana gani?... 🤣
Pole mdogo wangu 😂Basi umepatwa na mengi my g.
Nilikuwa nauliza maswali muhimu ila walimwengu waka ni attack
Ila naona kama umebadilika kiasi fulaniAisee na wanaunganisha kupigwa kwangu ban.. Ni majanga tyuu