Hii katuni inaongea Mengi!

Inataja kifungu 41 (7) cha katiba ya jamhuri ya muungano ya Tanzania ya 1977. Hayo ndio mambo ya mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
 
I hope vyama vyote vya siasa Tanzania vitahakikisha hali hiwi hivyo hapa kwetu mwaka huu.
 
"Chagua kati ya maisha au kuchakachua", aliamriwa Makame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…