Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Oct 1, 2010 #2 Inataja kifungu 41 (7) cha katiba ya jamhuri ya muungano ya Tanzania ya 1977. Hayo ndio mambo ya mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Inataja kifungu 41 (7) cha katiba ya jamhuri ya muungano ya Tanzania ya 1977. Hayo ndio mambo ya mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
pmwasyoke JF-Expert Member Joined May 27, 2010 Posts 4,760 Reaction score 3,324 Oct 1, 2010 #3 I hope vyama vyote vya siasa Tanzania vitahakikisha hali hiwi hivyo hapa kwetu mwaka huu.
The Dreamer JF-Expert Member Joined Feb 2, 2009 Posts 1,282 Reaction score 21 Oct 1, 2010 #5 "Chagua kati ya maisha au kuchakachua", aliamriwa Makame!