Hii katuni inatupa taswira gani? Hongera zenu katunist kwa kujaribu kufikisha msg kwa njia ya kitofauti na kipekee sana

Binafsi nahisi mwandishi anatuma msg flani, baada ya inshu ya kutekana kutaka kurudi ama wasiojulikana kurudi tena.

Je wewe umeielewaje?

View attachment 2756147
Zipo nyayo nyingi za walio jaribu kumpoteza,ila menyewe Kagoma kupotezwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ.Ila alikubali kuchungulia kaburi yaeeshee.πŸ˜‚
 
Zipo nyayo nyingi za walio jaribu kumpoteza,ila menyewe Kagoma kupotezwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ.Ila alikubali kuchungulia kaburi yaeeshee.πŸ˜‚
Vipi kuhusu wale wanao amini mzimu wa marehemu unarudi toka walipo muhifadhi nakuja kufanya mauji na kurudi kujichimbia alikotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…