Hii katuni inatupa taswira gani? Hongera zenu katunist kwa kujaribu kufikisha msg kwa njia ya kitofauti na kipekee sana

Hii katuni inatupa taswira gani? Hongera zenu katunist kwa kujaribu kufikisha msg kwa njia ya kitofauti na kipekee sana

Emmanuel Mkwama

Senior Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
166
Reaction score
124
Binafsi nahisi mwandishi anatuma msg flani, baada ya inshu ya kutekana kutaka kurudi ama wasiojulikana kurudi tena.

Je wewe umeielewaje?

20230920_182944.jpg
 
Zipo nyayo nyingi za walio jaribu kumpoteza,ila menyewe Kagoma kupotezwa😂😂😂😂🤸🤸🤸.Ila alikubali kuchungulia kaburi yaeeshee.😂
Vipi kuhusu wale wanao amini mzimu wa marehemu unarudi toka walipo muhifadhi nakuja kufanya mauji na kurudi kujichimbia alikotoka.
 
Back
Top Bottom