Emmanuel Mkwama
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 166
- 124
Binafsi nahisi mwandishi anatuma msg flani, baada ya inshu ya kutekana kutaka kurudi ama wasiojulikana kurudi tena.
Je wewe umeielewaje?
Je wewe umeielewaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo nyayo nyingi za walio jaribu kumpoteza,ila menyewe Kagoma kupotezwa😂😂😂😂🤸🤸🤸.Ila alikubali kuchungulia kaburi yaeeshee.😂Binafsi nahisi mwandishi anatuma msg flani, baada ya inshu ya kutekana kutaka kurudi ama wasiojulikana kurudi tena.
Je wewe umeielewaje?
View attachment 2756147
Vipi kuhusu wale wanao amini mzimu wa marehemu unarudi toka walipo muhifadhi nakuja kufanya mauji na kurudi kujichimbia alikotoka.Zipo nyayo nyingi za walio jaribu kumpoteza,ila menyewe Kagoma kupotezwa😂😂😂😂🤸🤸🤸.Ila alikubali kuchungulia kaburi yaeeshee.😂
Ukiangalia hapo hata tai wanasita kujipatia kitoweo,maana yake huyo hajakufa.Vipi kuhusu wale wanao amini mzimu wa marehemu unarudi toka walipo muhifadhi nakuja kufanya mauji na kurudi kujichimbia alikotoka.
Masoud ni kiboko nyie...Binafsi nahisi mwandishi anatuma msg flani, baada ya inshu ya kutekana kutaka kurudi ama wasiojulikana kurudi tena.
Je wewe umeielewaje?
View attachment 2756147
👏👏👏👏👏😂😂😂😂Kwamba john mbishi hakubali kupoteza legacy
Kwenye tuzo za Sanaa zijazo wasiache kumtazama kipanyaBinafsi nahisi mwandishi anatuma msg flani, baada ya inshu ya kutekana kutaka kurudi ama wasiojulikana kurudi tena.
Je wewe umeielewaje?
View attachment 2756147
Hii inamuhusu makondaBinafsi nahisi mwandishi anatuma msg flani, baada ya inshu ya kutekana kutaka kurudi ama wasiojulikana kurudi tena.
Je wewe umeielewaje?
View attachment 2756147