Hii katuni ya Spika na Katiba sijaielewa kabisa

Hayo marvey yakipimwa yana upungufu wa cdfour
 
Wachoraji wa katuni duniani kote hutumia Lugha ya uficho Sana kuelezea mawazo yao.

Hii katuni ambayo ni ya kisiasa kwa kuwa kuna mchoro wa Katiba ndani yake. Sijaielewa kabisa!!

View attachment 1779652
Huyo atakuwa ni yule mwenye faili mirembe anavyo idharau katiba kwa kuendelea kuwakumbatia wale covid-19 kuendelea kuwepo bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…