LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Ukiangalia vizuri huyu ni spika na joho lake. Yuko chooni,Wachoraji wa katuni duniani kote hutumia Lugha ya uficho Sana kuelezea mawazo yao.
Hii katuni ambayo ni ya kisiasa kwa kuwa kuna mchoro wa Katiba ndani yake. Sijaielewa kabisa!!
View attachment 1779652
Kaitumia katiba kama toilet paper.
Ndio uwakilishi wa hiyo picha. Ndugai una tuaibisha.
Hivi kwanini Mh. Rais asiongee nae hata kwenye koridoo amwambie anayo fanya sio sawa??