Hii katuni ya Spika na Katiba sijaielewa kabisa

Hii katuni ya Spika na Katiba sijaielewa kabisa

Wachoraji wa katuni duniani kote hutumia Lugha ya uficho Sana kuelezea mawazo yao.

Hii katuni ambayo ni ya kisiasa kwa kuwa kuna mchoro wa Katiba ndani yake. Sijaielewa kabisa!!

Pamoja na kuwa stool imemuenea lakini bado amemwaga chini, kazi kwa wahudumu wa bonge kudeki na kupulizia marashi
 
Ha ha ha ha ha aiseeee !!! katiba yetu imefikia hatua hiyo - huyu jamaa ni lazima watanzania tumwajibishe!!
 
Back
Top Bottom