Hii kauli ya Magufuli masaa kadhaa kabla ya Tundu Lissu kupigwa risasi mwaka 2017 inafikirisha sana!

Tumia kichwa kuwaza
 
Hivi ni uchumi gani magufuli alijenga hadi awe na vita...
 

Huu pia ni ushahidi unaweza kutumika mahakamani.
 
Kimsingi Lissu was/is a traitor! Sijui kwa nini nadhani anatumika na watu fulani.

Kûtumika na Watu Fulani ndîo kuwa traitor?

Mbona viongozi wôte wa Dini ya Ukristo Wanatumiwa na Wazungu kueneza Ukristo huku Afrika?

Mbona kûna Mamia ya NGO'S zisizo na kiserikali zinatumiwa na mabeberu kusaidia jamii katika Nyanja Fulani za kimaisha kama Elimu, Afya, Haki za Binadamu n.k.
Hao nao NI wasaliti

Lisu yeye huenda anatumika kuleta Demokrasia ya kweli Hapa TZ Huo ndîo Usaliti Unamaanisha?

Mbona serikali inatumiwa Baadhi ya mabilioni ya Pesa kuboresha huduma Fulani za kijamii. Huo ndîo Usaliti?
 
 

Attachments

  • IMG-20240926-WA0035.jpg
    79.6 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1727368868627.jpg
    57.3 KB · Views: 4
Huwezi kuelewa ukiwa one dimensional!
 
Ivi kuna mtu mwenye akili timamu bado anaumiza kichwa kumjua huyu Muuwaji wa Lissu?? miaka 7 hii bado unajiuliza Aisee mbona iko wazi kabisa toka kipindi kile
Lisu kama!

Ila inawezekana kwa mana sijasikiliza taarif ya habari kitambo, nilikuwa bize kujikwamua kiuchumi
 
Waache waathirika wa vitendo vyake wateme nyongo.
Kaa pembeni uwe shuhuda tu...
Wadunguaji waliniangusha sana.. mtu una SMG with full Magazine una shindwa kutekeleza kazi ndogo kama ile kwa msaliti wa nchi fumba** kabisa. Na juzi namsikia anatamba ooh ninawabritish msipo nilipa msirushe ndege zenu...nikamuangalia nikaishia kusema enhiiiii.....
 
Unaowasemea wanaishi maisha mazuri ambayo ukoo wako wote hakuna anayeweza HATA kuyaota. Fungua akili yako!
 
Ni kama ile ya utekaji ni drama na watu wakaanza kunyakuliwa kwa nguvu mpya...hizi ni orders
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…