BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Apumzike nn acha ale moto huko mpaka baaasiAmeshalala wazee acheni apumzike basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apumzike nn acha ale moto huko mpaka baaasiAmeshalala wazee acheni apumzike basi
Tumia kichwa kuwazaKwaihiyo Lissu ndiye msaliti aliyekuwa anazunguzwa na Magufuli?kama ni hivyo basi bora alivyopewa onyo maana hauwezi saliti taifa lako ambalo limemsomesha bure kwa kodi za wananchi alafu ukaanza kuwasaliti,hata kama yupo hai bado mwisho wake sio mzuri.
Nongwa za kijinga tatizo letu wabongo.Ameshalala wazee acheni apumzike basi
Wanajamvi,
Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo anaandika meseji Mwanyika.
“Yupo mmoja mpigaji kelele kweli. tulipojaribu ku trap zile simu zake kila siku anaandika meseji hadi kwa Mwanyika. Nataka data hii, tulipopata print out that's the government”
Aliongeza kwa kusema:
Vita ya uchumi ni mbaya kuliko ya kawaida. Vita ya kawaida adui unamwona. Sasa nyingine msaliti anapowasaliti kwenye vita ya kawaida maaskari huwa wanajua wanafanya nini
Mnadhani huyu adui aliyekuwa anamsema ni nani?
View attachment 3107207
Maisha ni hadithi ,haikwepeki kuisumilia iwe positive or negative.Duh...!. Jameni mwacheni huyu baba wa watu apumzike kwa amani
P
Kimsingi Lissu was/is a traitor! Sijui kwa nini nadhani anatumika na watu fulani.
Wanajamvi,
Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo anaandika meseji Mwanyika.
“Yupo mmoja mpigaji kelele kweli. tulipojaribu ku trap zile simu zake kila siku anaandika meseji hadi kwa Mwanyika. Nataka data hii, tulipopata print out that's the government”
Aliongeza kwa kusema:
Vita ya uchumi ni mbaya kuliko ya kawaida. Vita ya kawaida adui unamwona. Sasa nyingine msaliti anapowasaliti kwenye vita ya kawaida maaskari huwa wanajua wanafanya nini
Mnadhani huyu adui aliyekuwa anamsema ni nani?
View attachment 3107207
Huwezi kuelewa ukiwa one dimensional!Kûtumika na Watu Fulani ndîo kuwa traitor?
Mbona viongozi wôte wa Dini ya Ukristo Wanatumiwa na Wazungu kueneza Ukristo huku Afrika?
Mbona kûna Mamia ya NGO'S zisizo na kiserikali zinatumiwa na mabeberu kusaidia jamii katika Nyanja Fulani za kimaisha kama Elimu, Afya, Haki za Binadamu n.k.
Hao nao NI wasaliti
Lisu yeye huenda anatumika kuleta Demokrasia ya kweli Hapa TZ Huo ndîo Usaliti Unamaanisha?
Mbona serikali inatumiwa Baadhi ya mabilioni ya Pesa kuboresha huduma Fulani za kijamii. Huo ndîo Usaliti?
Huwezi kuelewa ukiwa one dimensional!
Lisu kama!Ivi kuna mtu mwenye akili timamu bado anaumiza kichwa kumjua huyu Muuwaji wa Lissu?? miaka 7 hii bado unajiuliza Aisee mbona iko wazi kabisa toka kipindi kile
Wadunguaji waliniangusha sana.. mtu una SMG with full Magazine una shindwa kutekeleza kazi ndogo kama ile kwa msaliti wa nchi fumba** kabisa. Na juzi namsikia anatamba ooh ninawabritish msipo nilipa msirushe ndege zenu...nikamuangalia nikaishia kusema enhiiiii.....Waache waathirika wa vitendo vyake wateme nyongo.
Kaa pembeni uwe shuhuda tu...
Unaowasemea wanaishi maisha mazuri ambayo ukoo wako wote hakuna anayeweza HATA kuyaota. Fungua akili yako!Wadunguaji waliniangusha sana.. mtu una SMG with full Magazine una shindwa kutekeleza kazi ndogo kama ile kwa msaliti wa nchi fumba** kabisa. Na juzi namsikia anatamba ooh ninawabritish msipo nilipa msirushe ndege zenu...nikamuangalia nikaishia kusema enhiiiii.....
Unajaribu kujifariji... ila unajua walifanya fyongo.Unaowasemea wanaishi maisha mazuri ambayo ukoo wako wote hakuna anayeweza HATA kuyaota. Fungua akili yako!
Ni kama ile ya utekaji ni drama na watu wakaanza kunyakuliwa kwa nguvu mpya...hizi ni ordersWanajamvi,