Hii kauli ya Makamu wa Rais ina maana gani?

Huyo mama yenu Tax aliwafanya nini Wazimbabwe?.
 
tusimulie zaidi mkuu.
 
Eti waziri wa ulinzi[emoji28][emoji28][emoji28].... Jamani hii nafasi ni nyeti Sana kwenye nchi ila naona hapa bongotozo wanaifanyia mzaha
Kwenye kauli ya mheshimiwa alidai anavunja miiko ya wizara hiyo kukaliwa na wanaume tu.
Sijui kama anaelewa wizara hiyo haina cha gender eaquality.. national security inahitaji mtu makini. Sio kubebana sababu ya gender
 
Huyu makamu wa rais hajuagi kuongea kwenye hafla naonaga mara nyingi anateleza sana yupo direct sana
 
Reactions: BAK
AJIUZULU TU...../
YEYE PAMOJA NA RAISI WAKE MIMI KUSEMA KWEELI SIWAELEWI KABISA
takataka yaani trash [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
ila makamu siku hizi hasikiki sana
Karibia 95% ya Watu wa ile Kambi ya Hayati waliokuwa wakimjaza Upuuzi na Kumuaminisha ambacho Kisingewezekana Kwake wameshaliwa Vichwa.
 
Maokola majogo alifanya nn mkuu?

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…